Mafuta ya taa yanawaka hayalipuki ili gari lifanye kazi linahitaji kitu kinacholipuka (kujua tofauti ya kuwaka na kulipuka mwaga petrol kidogo na m/taa kidogo piga kiberiti utagundua penye petrol eneo liliwaka pamoja hali kwenye m/taa moto ulianzia pale ulipoweka njiti ukaenea taratibu) hata mdau aliyesema yanaendesha l/rover hayawezi peke yake mpaka yachanganywe na petrol