Naombeni kujuzwa

Naombeni kujuzwa

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Jamani naombeni kujuzwa nawezaje kudownload nyimbo kutoka kwenye blogs mbalimbali ninatumia android huawei. Then kuna wakati inasema low memory hapo shida inakuwa nini ...naomben tusaidiane kwa holiday...:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbdown:
 
Download na uinstall downloader yyt itakayokuwezesha kudownload video toka youtube n.k. Mf download tubemate na utawezadownload video yyt ile tena hadi HD.

Kuhusu kukwambia low memory inamaana storage memory ya simu yako ni ndogo au cm imejaa hvy punguza baadhi ya vitu ili pia uweze ingiza vitu vingine
 
Download na uinstall downloader yyt itakayokuwezesha kudownload video toka youtube n.k. Mf download tubemate na utawezadownload video yyt ile tena hadi HD. Kuhusu kukwambia low memory inamaana storage memory ya simu yako ni ndogo au cm imejaa hvy punguza baadhi ya vitu ili pia uweze ingiza vitu vingine
Je tatizo kama hilo kweny PC, laptop nitumie nini mkuu!! SP
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom