Naombeni kujua tofauti kati ya LCD na LED flat screen

LCD ni Liquid Crystal Display na LED ni light emitting Diode. LED is latest technology and therefore ni nzuri, picha inaweza kuonekana vizuri katika angle tofauti zaidi kuliko LCD.

Hiki ndicho ninachoweza kusema katika lugha rahisi
 
Zaidi ya uliyoyasema mdau hapo juu LCD ni imara kuliko LED. Licha ya LED kuwa na bei kubwa kuliko LCD, LED pia zinatofautiana viwango.Mfano,Samsung wana LED kuanzia series 4 hadi series 9 na bei zake ni tofauti hata kama size ni ile ile
 
Back
Top Bottom