Naombeni kujua mambo kuhusu Minaki High School

Jiandae na dettol za kutosha msosi usiwe na shaka uko vizuri walimu wa kutosha sema wengi wao wako shallow hivyo tuition ni muhimu pia uwe na material
 
ukienda msalimie sana chungu kinyogori father babu gio bambucha nk
 
Babu gio kashafariki, jiandae kwenda pondi, usithubutu kunywa maji ya pale shule si salama kabisa, ni miongoni mwa shule chakavu, but kwa kusoma yako very attractive,
 
Back
Top Bottom