Naombeni kujua dominant member wa kila jukwaa la Jamiiforums

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,842
Hapa nataka kujua watu wenye ushawishi kwenye jukwaa husika ambapo ukienda huko bila kumfahamu huyo basi wewe huenda hujawahi tembelea hilo jukwaa

Nianze na majukwaa haya machache ambayo Kwa tafiti zangu naona Hawa majamaa utadhani ndowamiliki WA jukwaa

1.Jukwaa la siasa - Erythrocyte.

2.Jukwaa la historia-@Mohamed Said

3 Jukwaa la mapenzi mahusiano na urafiki - mzabzab na DeepPond

4.Jamii intelligence - Da Vince na yoga japo yoga sio Kwa umuhimu

5.Jukwaa la ajira - lerman3x

Majukwaa yapo zaidi ya 20 mengine nahitaji michango yenu.

N. B. Kuna huyu jamaa aliletaga thread inaitwa "did mwalimu die a Natural death" alipoandika akapotea kwenye mtandao ndani ya lisaa limoja hakurudi tenaaa binafsi Kuna watu kwenye hili jukwaa wanajua mengi yaliojificha ila Nina mashaka na huyu member aliyeletaga hii thread yenye utata mzito huenda hatunae sidhani kama yupo hai imran-SHIMBO
 
Jukwaa la muvi ndio napatikanaga. Nataka niombe mods waanzishe Jukwaa la 2upac pekee.
 
Back
Top Bottom