Naombeni kufafanuliwa juu ya ujio wa marais wa Chad na Zambia kwa wakati mmoja!

Tetemeko kwenyewe hakwenda mpaka leo
Ukiwa ofisini ndiyo unalishughulikia vizuri zaidi. Wasaidizi wako ndiyo wanakuwa frontline. Commanders in chief hawawagi frontline kwenye mapambano hata siku moja. Ndiyo maana wakina Makonda wako frontline hadi Uwanja wa Fisi!!
 
Ndio kazi ya ukawa sasa kila jambo kwa Rais wetu ni baya.. Kuna mwingine anaitwa Ben Saanane huyu alijadili Tai aliovaa Magufuli alipofika Kenya na kukosoa, jana nimeona MaRais hawa mmoja amevaa kanzu sasa je ule ukuu unao onyeshwa na Tai nyekundu utakua wapi
 
JPM ni maarufu na uwezo wa kukaribisha na kujadiliana na marais hata 7 anao. Ngoyai hana jeuri hiyo , yeye aendelee na vikao vya ndani vya SACCOSS
Magufuli kazuia vihela vya ujanja ujanja bila ya kufanya kazi. Hata zile buku 7 za kujipendekeza Lumumba siku hizi hazipo dadangu.
 
mliogeuza jamii forums kama uwanja wenu wa kupiga propaganda mmeua maana ya jf. pamoja na upotoshaji, uzi huu ni muhimu, unadadisi, kuna nini. sasa mtu kuulekeza nguvu zake kwa lowassa katika hili ni sawa na lusekelo kulewa akawatuhumu lowasa na sumaye.
 
Back
Top Bottom