thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,039
Atomic habitsWakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa najikuta napishana nao kwa kufikiri, tatizo langu kubwa ni negativity yaani nakosoa zaidi kuliko kujenga. Pia inaniwia vigumu mimi kujisubmit au kujinyenyekeza kwa watu hasa wa juu yangu.
Huwa najaribu kubadili mienendo Mingi kwenye maisha ila hili la mindset limenishinda.
Naombeni vitabu vitakavyobadili jinsi navyowaza. Pia kama kuna mbinu zingine Naombeni wakuu.
Asanteni
Secret by RhodaWakuu,

Book name : who will cry when you die.Wakuu,

Kwa muandishi huyu, nashauri angeanza na the Secret.The Power Written by Rhonda Byrne.
Au Magic mwandishi huyohuyo, anza na The Power
Tatizo lako wahenga walisema tu jifanye mjinga basi. Huitaji kwenda kusoma mavitabu utapoteza muda wako bure tu. Kuna topic nyingine acha watu washinde.... hakuna kitu kilicho sahihi chini ya jua so ukisema utakosoa kila kitu utakosoa vingapi.....?. Ili mradi hakikuathiri we kubaliana navyo tu. 1 + 1 = 3 sawaaaa tawire ndio maisha yanataka hivyo ......am talking from experienceWakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa najikuta napishana nao kwa kufikiri, tatizo langu kubwa ni negativity yaani nakosoa zaidi kuliko kujenga. Pia inaniwia vigumu mimi kujisubmit au kujinyenyekeza kwa watu hasa wa juu yangu.
Huwa najaribu kubadili mienendo Mingi kwenye maisha ila hili la mindset limenishinda.
Naombeni vitabu vitakavyobadili jinsi navyowaza. Pia kama kuna mbinu zingine Naombeni wakuu.
Asanteni
Soma HIVI MKUU: –Wakuu,

Mentality huanza kubadilishwa na ww mkuu,anza kuikataa kuanzia Sasa hiyo hali na baadae uta adapt utajikuta unaichukia negativity.
Kitabu hicho hapo.
Wakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa najikuta napishana nao kwa kufikiri, tatizo langu kubwa ni negativity yaani nakosoa zaidi kuliko kujenga. Pia inaniwia vigumu mimi kujisubmit au kujinyenyekeza kwa watu hasa wa juu yangu.
Huwa najaribu kubadili mienendo Mingi kwenye maisha ila hili la mindset limenishinda.
Naombeni vitabu vitakavyobadili jinsi navyowaza. Pia kama kuna mbinu zingine Naombeni wakuu.
Asanteni
Hongera sana kwa kupata huu mwamko. Inaitwa Awakening , kuna msemo unasema ni pale tu mwanafunzi anapokua tayari ndipo mkufunzi hutokea. Amini sio tu kwa kupendekezewa vitabu, bali wewe mwenyewe utaanza kukutana na maandiko yatakayokusaidia.Wakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa najikuta napishana nao kwa kufikiri, tatizo langu kubwa ni negativity yaani nakosoa zaidi kuliko kujenga. Pia inaniwia vigumu mimi kujisubmit au kujinyenyekeza kwa watu hasa wa juu yangu.
Huwa najaribu kubadili mienendo Mingi kwenye maisha ila hili la mindset limenishinda.
Naombeni vitabu vitakavyobadili jinsi navyowaza. Pia kama kuna mbinu zingine Naombeni wakuu.
Asanteni
Jifunze pia kuhusu power cluster, or the three needs theory by David McClelland hii itakusaidia kuto wasikiliza motivation speakers japokuwa ni muhimu tujue una ujuzi gani ama unajuhusisha na ili tukupe maujanja zaidi Kwa maana humu tuna uelewa tofautiNenda na "48 laws of power" cha Robert Green. Nakushauri binadamu yyte yule hapendi kuwa dominated na mtu Fulani lazima atakataa hiyo Hali, hivyo nakushauri soma hicho kitabu, kama si mvivu wa kusoma basi kitakusaidia kidogo, usilazimishe kukubalika bali wakukubali automatically wao wenyewe.