Naombeni kiapo cha dc/rc

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
Wana JF,

Naombeni mtupe kiapo cha DC/RC anacho toa pale Viwanja vya IKULU na baadae anaenda kutumikia wananchi

Kwa mtu yeyeyote ambe anajua atumwagie hapa tafadhalini
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Naapa mbele yako kwamba Mkuu wa kaya maslahi yako Wilayani/Mkoani yatalindwa kwa nguvu zote na kasi zaidi .Nitawanyanyasa wanao kupinga hata kama wakiwa na hoja safi za kuijenfa Nchi hii .CCM mbele sana na tena zaidi muda wowote na vyama vingine havutakiwi .Mungu isaidie CCM nasi viongozi tuongee afya njema tule kwa madaha .
 
Kama kweli ndicho kiapo cha hawa DC/RC ama kweli tupo kwenye mfumo wa Chama kimoja na ndicho huyo DC wa Igunga kweli aliapa hivyo kwani hicho kiapo ulichonipa ni sawa kabisa na matendo ya DC wa Igunga anayoyafanya
 
CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,905
Naapa naahidi mbele ya Mungu(mola)
Chama Cha Mapinduzi nitakilinda
Kwa maisha na damu yangu mpaka saa ya mwisho
Eeh Mungu (Mola) nisaidie
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409

Kama kweli ndicho kiapo cha hawa DC/RC ama kweli tupo kwenye mfumo wa Chama kimoja na ndicho huyo DC wa Igunga kweli aliapa hivyo kwani hicho kiapo ulichonipa ni sawa kabisa na matendo ya DC wa Igunga anayoyafanya

Hivi hakuna mashine ya kupima content ya ubongo wa baadhi ya wachangiaji humu? Huyu jamaa nadhani ana salio dogo sana la ubongo.
 
Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
Hivi hakuna mashine ya kupima content ya ubongo wa baadhi ya wachangiaji humu? Huyu jamaa nadhani ana salio dogo sana la ubongo.

hivi umeelewa nini hapo au umekurupuka unadhani me zuzu au nime fananisha mawazo ya mtoa hoja kama yanaendana na DC wa Igunga kwani DC anacho kifanya ndicho mtoa hoja kadhani DC alikula hicho kiapo.

Nadhani hamjajua dhani hii ya hoja hii ni kutaka kujua DC alicho kiapa ndicho anachokitekeleza Igunga au yupo kwa maslahi ya CCM. Kwani Katiba itambana pindi watakapo enda mahakamani.

sasa mkuu we wadhani ni zuzu kusema kama kiapo ndicho hicho basi Dc ndicho anachokifanya huko.

Sijakurupuka mkuu. Just toa hoja yako humu ndani twahitaji kujua viapo vya DC/RC na mawazo yako period usi dis mtu tafadhari au kama unaona hoja haupendi potezea mkuu haipunguzi damu yako
 
Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
Tuondoleeni sredi z a kumdhalilisha mh rais

Yegho Masika!!! ulikutiki awe kamraaaa?

Hii Topic ina umuhimu wake esp DC wa igunga twataka kujua alicho apa na anacho kitekeleza ni sawa au anataka kusema alionewa? we huipendi kwasababu zipi rais anadhalilika vipi hapo?? sera mbovu ndizo zitamfanya adhalilike huwezi kuwa DC kwa ajiri ya raia wa itikadi tofauti then wewe DC utete chama kilichokuweka madarakani then hakuna maana ya cheo cha DC/RC!! kwanini wawe makada wa CCM na kwanini wakashiriki kwenye mambo ya campaign wakati yeye ni kiongozi wa wananchi hao kwanini yeye ajitenge na kujionyesha yeye yuko CCM je hapo si watahoji kuwa ameshiriki kupingisha matokeo au kuharibu campaign?? Leo DC(Igunga) kasema CCM itashinda Igunga how??

Ningependa kujua umri wako ni upi na katika fani za siasa unaupeo kiasi gani?? Mkuu
 
Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,518
1,336
Wana JF,

Naombeni mtupe kiapo cha DC/RC anacho toa pale Viwanja vya IKULU na baadae anaenda kutumikia wananchi

Kwa mtu yeyeyote ambe anajua atumwagie hapa tafadhalini

Kufanya kazi kwa kufuata sheria za nchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom