B brotherkaka55 Member Joined Oct 6, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Apr 30, 2016 #1 Natarajia kuwa msambazaji mkubwa wa vinywaji kwa bei ya jumla DSM kazi ambayo hadi sasa naifanya dukani kwangu. Ombi langu ni kwamba ukiwa na tukio lolote litakalohitaji vinywaji, piga 0716535134 utashauriwa pia namna ya kupunguza garama.
Natarajia kuwa msambazaji mkubwa wa vinywaji kwa bei ya jumla DSM kazi ambayo hadi sasa naifanya dukani kwangu. Ombi langu ni kwamba ukiwa na tukio lolote litakalohitaji vinywaji, piga 0716535134 utashauriwa pia namna ya kupunguza garama.
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,479 Reaction score 9,018 Apr 30, 2016 #2 Haya borther-Kaka, tumekusikia. Mwenyezi Mungu akujaalie na kukufungulia milango zaidi katika biashara zako.
Haya borther-Kaka, tumekusikia. Mwenyezi Mungu akujaalie na kukufungulia milango zaidi katika biashara zako.
B brotherkaka55 Member Joined Oct 6, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Apr 30, 2016 Thread starter #3 Thank u Kaveli
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,373 Reaction score 12,017 Apr 30, 2016 #4 tumekusoma mkuu! bravo!
B brotherkaka55 Member Joined Oct 6, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Apr 30, 2016 Thread starter #5 Pamoja sana
Super Tuesday JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 636 Reaction score 727 Apr 30, 2016 #6 Kila la heri mkuu