Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
Mimi nimesoma, ila kiwango changu cha elimu hakikidhi haja ya swali nililoulizwa, lakini wenzangu mmesoma, so nisaidieni swali hili, "Hivi, aliyechora ramani ya dunia, alikuwa amekaa wapi?" Naombeni mnisaidie