MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,050
My dear..
Hii ni veseline ipi? Mgando au lotion?
Vipi kuhusu olive oil...inaweza kutumika instead ya hayo ya nazi?
ile ya mgando mamy!yes tumia hata olive oil mazuri pia sana sana
My dear..
Hii ni veseline ipi? Mgando au lotion?
Vipi kuhusu olive oil...inaweza kutumika instead ya hayo ya nazi?
Kwa sasa natumia Organic cocoa butter, Veerox na mafuta ya Nazi yanaitwa Parachute na baby Johnson mafuta ya mgando. Dax au blue magic kwa nywele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Og ivi yanauzwa shs ngap maana yapo mengi saiv wala hujui tena og ni yapinmetumia quuen elizabeth ni mazuri kwa wenye ngozi kavu! ukipata original ngozi inakuwa nzuriiii inaondoa makunyanzi ukakamavu inavutia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asnte sanaile ya mgando mamy!yes tumia hata olive oil mazuri pia sana sana
Tutajie basi hivyo vya Nigeria na South Africa tukatafute shogaangu...unajua kuwa na ngozi nzuri huitaji kujichubua mi hayo mavipodozi ya congo au cote divour au china sinunui mi natumia vitu vya south africa au nigeria tu.unajua wasouth hawajichubui wanafanya tu skin toning sio bleach
Hiyo ndio ninayotumia now kwa muda wa mwezi sasa, ni nzuri mnoooo.Queen elizabeth kama mtu anataka kutumia bora apake tu mwilini sio kwa usoni, kuna cream nzuri ya usoni inaitwa Botuoer ni nzuri mno wapendwa huwezi kujuta kuitumia
Kweli momma? Wish to try that tooHiyo ndio ninayotumia now kwa muda wa mwezi sasa, ni nzuri mnoooo.
Ni nzuri sana.
Try it my dear, niliambiwa na rafiki yangu nikaijaribu, kwakweli sijajutia. Ni nzuri sana.Kweli momma? Wish to try that too
Yaani wewe sijui mtu wa ngapi unaongelea haya mafuta kuna rafiki yangu mmoja anatumia haya yeye anachanganya na parachute kawa na ngozi tamu balaa, ngoja nimalize haya yangu nihamie hayaIla sijui sana kuhusu utofauti wa ngozi, ila tu naweza jitolea mfano mimi, kuna kipindi uso wangu uliharibika sana nikahangaika nikakata tamaa, kuna mwenzangu yeye pia alikuwa kama mimi ghafla nikaona anabadilika nilipomuuliza akaniambia kuhusu hiyo cream mwanzo niliogopa mana naijua ngozi yangu ya uso ilivyo sensitive ila akanishawishi sana niijaribu nikasema anyway kwa kuwa nishaharibika ngoja tu nijaribu, I swear to God sasahivi wanawake wengi wakiniona either wananiangalia sana usoni nazani wanajiuliza natumia nini kwa jinsi nilivyo soft na wengine wananiuliza natumia nini kabisa dada kwani unapaka nini.
NJOO UPAKE RINJU MWAYANimetumia Qeen Elizabeth hayakunipenda kabisaa cjui yalikua feki maana niliishia kupata rashes kibao usoni, nikaachana nayo.
Hyo ni mikorogo first class.boujour ni balaaNaombeni kujua uzuri wa haya mafuta.. kennite na boutoure..
Hivi kuna nyumba haina Revlon ya emergency?Kila nikinunua lotion mpya inanishinda najirudia kwenye Revlon.... Kwa kweli long live Revlon
Yana chubua japo kidgo wanasema kung'arishaNaombeni kujua uzuri wa haya mafuta.. kennite na boutoure..
Kabisaa thank yuuHyo ni mikorogo first class.boujour ni balaa