Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

unajua kuwa na ngozi nzuri huitaji kujichubua mi hayo mavipodozi ya congo au cote divour au china sinunui mi natumia vitu vya south africa au nigeria tu.unajua wasouth hawajichubui wanafanya tu skin toning sio bleach
Haya nitoe tongo shoo nami nivitafute vya south ngoz yangu kavu haina chunus natak ngoz inyiritike kam nimetoka kuzaliwa leo shog angu cc miss Natafuta
 
Ku mahali nilisikia pia wanasema...asali na limao sumu. But mimi detox yangu inakua na both na tango juu....imani tuu za watu au labda wataalamu watujuze
Kama we umekunywa na hujafa Ndio mie? Kwanza kesho naweza asali mie
 
yap yap hyo inapunguza mwili sana tu! nimeitumiaga kipind! yeah nazi kwangu sikosi usk najikandika nazi na mix na vaseline! safi mnoo! .. sema nimekuwa na mba za nywele sijui kumix mix mafuta? ah... nna nywele ndef ila View attachment 568722 mbaa
My dear..
Hii ni veseline ipi? Mgando au lotion?

Vipi kuhusu olive oil...inaweza kutumika instead ya hayo ya nazi?
 
Mimi ndio mafuta yangu ni mazuri sana kwa wenye ngozi kavu. Lakini kama ni OG.
Ukavu unaweza kuchanganya na bio oil .Kwa mimi nachanganya na mafuta ya nazi nayoyatengeneza mwenyewe.
 
Mi yalinipenda nilitaka sana tatizo siku hizi mengi ni feki so nika achana nayo nilipata wakati mgumu kujua haya ni original au feki.

Kuhusu ugumu nilicho fanya nilichanganya na gryceline so yaka lainika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa natumia Organic cocoa butter, Veerox na mafuta ya Nazi yanaitwa Parachute na baby Johnson mafuta ya mgando. Dax au blue magic kwa nywele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi kuna watu washachakachua, queen elizabeth ile ya mwanzoni ndio ilikua nzuri..yaani ilikua ukipaka unapendeza balaa ila hii ya sasa hata utumie vipi huoni mabadiliko yoyote kwenye ngozi
Mi nilipata ile ya mwanzooo ngozi ilikuwa soft balaaa yalinikubali kweli ila sasaa baada ya hapo ikawa majangaaa nika achana nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom