Kaka salamaleko 😁 ndugu yanguHapahapa jf kuna watu wanaongeaga hoja hazina kichwa wala miguu. Wewe pita nazo tu ni bure kabisa
Kwani maneno ya mtu kama yule jamaa anajiita Ngawila sijui mifuko si inashiba kabisa?😁 namaanisha chakula cha mifugo mkuu
Kwema mkuu?Kaka salamaleko 😁 ndugu yangu
Tulipotezana kaka 😊Kwema mkuu?
Mambo mengi mkuu niko nahangaika na maisha huku nchi za watuTulipotezana kaka 😊
Mapambano kakaMambo mengi mkuu niko nahangaika na maisha huku nchi za watu
Pita pale ubungo maji huwa naona wanaanika sana pimba pale!Kwa dar es salaam wapi ni chimbo la kupata vyakula vya mifugo kama pumba na mashudu kwa wingi?
Niko zangu Maldives nanyonya maziwa ya kizunguumeamua kuungana na mawinga huko china