Huku nakoishi eti dodo buku, alaf nimetoka kijijini mwaka jana mida kama hii, dodo tulikuwa tunaenda kuchuma tu. Aisee matunda huku mjini hata iwe msimu nauziwa bei mbayaNimemaliza kula mdodo hapa mtamu balaa... ila nimeuziwa 500/=
Duh hatareee hapa nataka nikaongezee tu la 500 nilale nakulala!Huku nakoishi eti dodo buku, alaf nimetoka kijijini mwaka jana mida kama hii, dodo tulikuwa tunaenda kuchuma tu. Aisee matunda huku mjini hata iwe msimu nauziwa bei mbaya
Mie ndio ratiba yangu mkuu, usiku napenda kula matunda tu!Unakula dodo pekee? Tunda ni kwa ajili ya kujazilishia tu.. Kale chakula
Wewe Dar wa Kuja nini ? ukiwa Mndewa wa Dar kama Mimi lazima ujue machimbo ya bidhaa na vitu muhimuHii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu.
Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar.
Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa.
Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana
So wanabodi wa Dar Naombeni mwongozo Sehem ya kupata matunda hasa
Parachichi, embe, nananasi, chungwa, ndizi..
Nitashukuru sana.
Mimi kama sina kazi ndio chakula changu hicho, usiku huwa sihisi njaa labda ni kwa ajili ya kufunga mara nyingi hadi siku 2.Usiku huwa hauhisi njaa?
Hapana nenda asubuhi sana mida ile wale wauza magenge wanaenda bei hua nafuu sanaYaani nakwepa bei alafu unaniambia niende supermarket? Karume huko si ndo bei juu sasa?