Naombeni ajira ya urubani

Naombeni ajira ya urubani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,107
Reaction score
55,524
Wiki ijayo nitaanza mafunzo ya urubani wa ndege kwa muda wa miezi miwili katika chuo cha YouTube.

Baada ya hiyo miwezi miwili, nitakuwa nimehitimu vizuri.

Kwa hiyo ndugu zangu, wale wote wanaomiliki ndege, naombeni mnipatie ajira, maisha ni magumu mtaani.​
 
Kuna baadhi course lazima ufike chuoni mkuu
Ndio maana, nyakati hizi tuna digrii nyingi ambazo hazizalishi chochote, ila kwenye makaratasi kuna ufaulu mzuri.

Kupitia uzi huu, kama inawezekana, iwe ni sababu ya kufuta baadhi ya vyuo pamoja na fani zinazotolewa kwa mtandao ambazo hazizalishi chochote.​
 
Vizuri mkuu. Lakini usifikiri kuendesha ndege ni kama baiskeli unakanyaga pedeli safari inaanza
Acha zako wewe, mbona mjumbe wangu wa nyumba kumi amehitimu phd yake ya mambo ya jamii juzi kwa mtandao?​
 
Back
Top Bottom