Naombeni advice yenu wana CC

Naombeni advice yenu wana CC

Joined
Jan 18, 2014
Posts
36
Reaction score
1
kuna madame mmoja anadai eti ananipenda while am still a student na nikimkataa huwa ananipa punishment kwa kosa dogo tu,mpaka imefikia wakati nimemchoka! nifanye nini?!
 
Kwani we unamwonaje _ unaweza kumkimbilia au amekuacha mbali sana ®I mean age
 

Pole sana..
Bado we ni mdogo sana, nakushauri nenda kwa mkuu wa shule na umweleze tatizo lako,
Akiendelea kukusumbua waeleze wazazi wako,
Kama hawatachukua hatua yoyote ile waambie unahitaji kuhama shule,
Wakigoma basi bora uache,
Kwa sababu hapo kuna mawili, either kufel au kupata ukimwi.
Hawa watu wazima wanaowatongoza watoto lazma wanamapungufu ambayo yanaweza kukuletea shida.
 
Halafu ukute madame mwenyewe ni ticha wa baioloji...
 
Napata wasiwasi kidogo...ila pole....uongozi hauna kamati za nidhamu/mwalimu wa nidhamu?
 
Back
Top Bottom