Mkuu nina experience ya miaka 6 ku transform watu kutoka katika hali hii, ila huduma yangu ni ya kulipia ninakuhakikishia ni lazima uone mabadiliko usipoona you will get a refund!Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
Tatizo ninaloliona sio kama huna nguvu za kiume ila approach yako kwa wanawake si sahihi, nitadeal na wewe kisaikolojia.Unalipia bei gan na hyo huduma ni dawa ama huduma ya kisaikolojia ?
Kudadeki,ukiona hivyo mkuu usilazimishe,nunua gari yako mbwa wako Jenga nyumba nzuri,alafu njoo utupe mrejesho.Wakati.mwingine ni Mungu anakuokoa,hebu jaribu kukomalia mali,hawa wanawake wengine wana mapepo ya umasikini Komaaa na malengoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi nikitongoza huwa nakataliwa mpaka nahisi huenda ninagundu .Nataman sana ningekuwa na mtoto upande wa huduma nikiwa kwenye mahusian huwa nahudumia vzr nikiombwa pesa natoa ila kudumu kwenye mahusiano ndo sidumu kuna muda nawaza niende kwa waganga .Naomben wakunisaidia mnisaidie angalau kwa mawazo tu
DuuhHivi kweli unampiga mzazi makofi hata mimi namuhunga mkono bora akulaani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mtu akikupa no ujue amekubali %90 Sasa wew unafeli wapiBraza story yako ni story yangu aseeee kuna muda napewa namba kabsa na nasahau nimeisave vipi
Napata stress sometimez kichwa chawaka moto ...,ila kwa upande wa pili inanipa hali ya kupambana zaidi do or die situation nahamini kwenye ule usemi wa "braza tafuta ela ......"Wewe hyo hali unaimudu kiaje ? Ama haikupi stress
Nakosa maneno kuna muda nakaa had dk kumi kufikiria niandike nn ,naandika nafuta nahs nimekuwa sio muongo muongo sijui nimwambie nn msichana anieleweMtu akikupa no ujue amekubali %90 Sasa wew unafeli wapi