Naomben msaada kujua jinsi ya kupandisha (kupiga window) kwenye computer bila kutumia CD

kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
409
Points
500
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
409 500
Natanguliza salamuNaombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kweny PC bila kutumia CD na pia ku update au ku upgrades piah kubadilisha mfano kutoka window 8 kwend 10Asanten
 
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,484
Points
2,000
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,484 2,000
Natanguliza salamuNaombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kweny PC bila kutumia CD na pia ku update au ku upgrades piah kubadilisha mfano kutoka window 8 kwend 10Asanten
Tumia flash. Inabidi uingie kwenye BIOS uruhusu computer yako ku-boot toka kwenye flash. Hapo unatakiwa uwe na flash yenye 5gb au zaidi, uweke .iso file humo kwa kutumia program maalum kama Power ISO (tengeneza bootable flash). Zima computer, chomeka flash, washa komputa, install win10

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
409
Points
500
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
409 500
Tumia flash. Inabidi uingie kwenye BIOS uruhusu computer yako ku-boot toka kwenye flash. Hapo unatakiwa uwe na flash yenye 5gb au zaidi, uweke .iso file humo kwa kutumia program maalum kama Power ISO (tengeneza bootable flash). Zima computer, chomeka flash, washa komputa, install win10

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
shukran mkuu
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
Kama una update tu (haufanyi clean install) unaweza uka run windowd kama programs nyengine na kuinstall bila cd ama flash
 
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
409
Points
500
kingzard

kingzard

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
409 500
Kama una update tu (haufanyi clean install) unaweza uka run windowd kama programs nyengine na kuinstall bila cd ama flash
je ntapataj hizo software za na kuziwek kweny flash kam Natak kupiga window mpya
 
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
821
Points
1,000
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
821 1,000
Hizi biashara za next next finish ndo zimetufanya wengi tuliolipa ada zetu kusomea computer vyuo vikuu kuachana kabisa na ishu za installation. Mi ukiniitia kazi yako bila elf hamsini kufanya installatio siji, ita tu wanaoita kupiga windo chini. Maana ukizubaa unalipwa elf kumi haitoshi hata petroli ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
intelinside

intelinside

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2015
Messages
237
Points
500
intelinside

intelinside

JF-Expert Member
Joined May 21, 2015
237 500
Simple sana, pita hapa

Rufus

pakua hiyo software, tengeneza bootable kutoka kwenye image ya windows cd mfano .iso

washa kompyuta yako chakua boot from usb fanya yako.

NOTE:
options to boot from flash drive differ from manufacturers and models of PC, please follow their guidelines on that...

also it easy to create a bootable from CD image, so alternatively you can create an image from the actual CD and use it for a bootable USB...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,021
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,021 2,000
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
1,004
Points
2,000
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
1,004 2,000
Hizi biashara za next next finish ndo zimetufanya wengi tuliolipa ada zetu kusomea computer vyuo vikuu kuachana kabisa na ishu za installation. Mi ukiniitia kazi yako bila elf hamsini kufanya installatio siji, ita tu wanaoita kupiga windo chini. Maana ukizubaa unalipwa elf kumi haitoshi hata petroli ya gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe unaweka yenyewe?

Maana Kitaani wanapiga copy then wanaactivate kwa buku 3 ya kiepe yai na software zote ni cracked
 
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
933
Points
1,000
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
933 1,000
the system configuration was unchecked and after restarting the laptop wont boot, what is a simple fix way
 
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Messages
1,004
Points
2,000
SPYMATE

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2013
1,004 2,000
Cracked kivipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Software za kuchakachua boss!!!
Kwa maana software nyingi Ni za kutumia mwezi mmoja tu(one month trial) Baada ya hapo watakudai ulipie licence but kibongo bongo hawazilipii wanatafuta za kuchakachua ndio Hizo zinazoitwa cracked/patch
 
Forum statistics

Threads 1,336,668
Members 512,696
Posts 32,547,256
Top