hahaha mie mleta uzi kanichosha kabisa. .
Hebu mshauri jamani bikira yake isiliwe na nyenyere. . . Halafu sikujua kuwa wanaume siku hizi wanaogopa bikira
inawezekana kabisa, anaweza akawa na miaka 70 lakini siyo mama................... mimi ni mama, na sikupata kwa njia ya Roho Mtakatifukuna mmoja mwenye miaka 70 alitangaza juzi kati hapa kwamba anayo, anatafuta mtu wa kuibanjua
I salute you YoungCorporateSIDE A.....Nadhani hiyo bikira unaiweka mbele sana kama ndio kila kitu mpaka una-loose touch ya wewe ni nani na unatakiwa ku-play yourself katika hivyo videti vyako....Don't make that loose vestigial skin a big deal and a leverage/ticket to relationship life...be yourself and play normal....when you feel its right time to loose it get over it.......beside its ain't fun to play bloody with newcomers in adults game.....
SIDE B: Hao wanaokimbia hawako tayari kuji-commit kwako kwa hiyo wanaona ni unfair wao kukutolea usichana wako, hivyo endelea kuwa makini, ambae yuko tayari hata kimbia bali atakuganda na ndio atakuwa wako na atavunja kibubu......
mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.
mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.
Ww ni sawa na mtu anaeomba kazi na hana uzoefu!si rahisi kupata ajira.huna uzoefu wa kuhendo mwanaume.kila kitu itabidi ufundishwe.wachache wenye muda huo.Tafuta kazi za kujitolea...ha ha ha
WSent from my BlackBerry 9700 susing JamiiForums
@Fixed Point Ninajuwa hivyo lakini mimi nilitaka kujuwa kama wewe pia unayo? samahani bibie kama nitakukwaza.mmmmmmmmmmmmm, huwa wanakuwa nayo hata wamama?
MziziMkavu huwezi kunikwaza, nimekuambia tu kuwa mimi ni mama, kwa njia natural siyo ile ya "kwa uwezo wa Roho Mtakatifu", so utapata jibu kama ninayo au laFixed Point Ninajuwa hivyo lakini mimi nilitaka kujuwa kama wewe pia unayo? samahani bibie kama nitakukwaza.
@Fixed Point Sawa mama watoto hawajambo?MziziMkavu huwezi kunikwaza, nimekuambia tu kuwa mimi ni mama, kwa njia natural siyo ile ya "kwa uwezo wa Roho Mtakatifu", so utapata jibu kama ninayo au la
mimi ni msichana wa miaka 26. Kila ninapopata boyfriend
nikijaribu tu kumwambia mimi ni bikra anapunguza mawasiliano
na ndo inakua,mwisho wamimi na yeye,nashindwa kuelewa ninakosea,
kusema ukweli au? Naombeni ushauri please.
pia hawawz hata kazi ya kubikiri kam aujuavyo wanaume wenyewe hawa wa punyeto, na mibia tu hawana hizo nguvu.
watoto hawajambo, wote kabisa@Fixed Point Sawa mama watoto hawajambo?
Ebana eeeeeeeeeeh,hiyo kali.Ushauri wako hapo chini ni mzuri ila sasa ajitunze mpaka lini na tayari keshaanza kuwashwa huyu?nijuavy mimi hao wanaimbia manake wanajua hadi kupata date itachukua muda sana, na pia hawawz hata kazi ya kubikiri kam aujuavyo wanaume wenyewe hawa wa punyeto, na mibia tu hawana hizo nguvu.
Bazazi serious sikuchukii wewe ila nachukia sana comments zako tena mungu akusamehe sana wala asije patiliza dhambi hizi kwa watoto watokao kwenye viuno vyako.Binafsi sishabikii ushoga, usagaji na ufiraji to me these are dhambi kubwagfsonwin, tunagonga mbele, nyuma na PUNYETO hatuachi kwani hamjiwezi kunako shughuli. Nani anatosheka kwa vigoli viwili, demu ulimi nje ilhali wengine angalau nne ndio twajisikia! Acha tupige punyeto.
Bazazi ni Bazazi!