Naombaufafanuzi kuhusu Workers' Compensation Fund (WCF)

Tusaidiane Jamani UFAFANUZI JUU ya DOCUMENT HAPO JUU
 
Hii taarifa mimi naona ni mpya Sijui Labda kwa Watu wengine, Jamani munaojua ebu mfafanulieni BintiwaNgara
 
Huu ni mfuko ulioanzishwa na serikali kwa nia ya kulipa fidia wafanyakazi wote watakaopata kuumia eneo la kazi, waajiri wote binafisi wanachangia asilimia 1 ya mapato ya mfanyakazi kwa mwaka mzima ila kwa watumishi wa umma wanachangiwa 0.5
 
kama hajawahi kuumia Mpaka anastaff, je atalipwa chochote? Au ndiyo pesa imeshakwenda?
 
Sina hakika ila nadhani ni kama bima, not identical but simiral kwa bima ya afya ambayo ukistaafu bila kuumwa no mafao, so wcf ni faida kwa ulinzi wa mtumishi akiwa kazini, na 1 na 0.5 kama alivyosema mchangiaji hapo juu is not a big deal kama utapata majanga makubwa ukiwa kazini
 
hii ni kama bima ukikatia bima hata usipopata janga lolote hadi bima inaexpire haurudishiwi fedha, huu umfuko utaharibia biashara mashirika ya bima yaliyokuwa yanatoa huduma ya workmen's compensation,
 
View attachment 257903

jamani ,nini maana ya workers compastion fund? Je hii ni faida kwa nani,Mfanyakazi au nani ,Naombeni ufafanuzi.

kwa Taarifa zaidi. soma attachment above.
huu ni mfuko wa malipo kwa watu walio umia kazini au amepata madhara ya kiafya yeyote yanayotokona na kazi anayofanya. just in short.
 
Nnavojua mimi hyo ni kama bima kama wengine wanavosema,sheria sasa kuhusu watu wanaopata matatizo kazin ni yakionevu na mbaya sana,hasa kwa wale wafanyakazi wanaofanyakazi kwenye mazingira magumu.kwa mfano kuna kaka mmoja dreva wa kampuni moja ya ujenzi wa bara bara alipata ajali na mguu ukakatwa huyu bwana alilipwa milioni 15 tu ilinisikitisha sana,lakini kwa huu mfuko mtu wa aina hii yuko likely kulipwa mpka 50M.
 
Lakini haukatwi kwenye mshahara wako, hayo malipo au asilimia ni muajiriwa wako ni lazima akulipie,, na ndio maana ukistaafu au ukiacha kazi haulipwi chochote coz sio wewe uliyechangia bali ni mwajiri wako
 
kama hajawahi kuumia Mpaka anastaff, je atalipwa chochote? Au ndiyo pesa imeshakwenda?
Ni kama bima tu. Kama hujawahi kupatwa na janga lolote basi huwezi kufaidika nao kabisa. Hii sio pesa ya pensheni, ni ya tahadhari ya majanga yanayoweza kutokea ukiwa kazini.
 
Huu ni mfuko ulioanzishwa na serikali kwa nia ya kulipa fidia wafanyakazi wote watakaopata kuumia eneo la kazi, waajiri wote binafisi wanachangia asilimia 1 ya mapato ya mfanyakazi kwa mwaka mzima ila kwa watumishi wa umma wanachangiwa 0.5
Malipo yao yakoje??
 
Imekaa vizuri
Lakini haukatwi kwenye mshahara wako, hayo malipo au asilimia ni muajiriwa wako ni lazima akulipie,, na ndio maana ukistaafu au ukiacha kazi haulipwi chochote coz sio wewe uliyechangia bali ni mwajiri wako
 
Lakini haukatwi kwenye mshahara wako, hayo malipo au asilimia ni muajiriwa wako ni lazima akulipie,, na ndio maana ukistaafu au ukiacha kazi haulipwi chochote coz sio wewe uliyechangia bali ni mwajiri wako
Je ni kweli inalipwa au unazungushwa kama pensheni?
 
Na anaekatwaa ni mwajiri kuwakinga wafanyakazi na majanga kazini
 
Back
Top Bottom