mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,300
- 524
1.Wanafunzi wawachape viboko walimu kila wanapoingia darasani ili wasiingie kabisa.
2.wanafunzi wote wanaomaliza form six waingie vyuoni kuchukua digrii hata kama amepata ziro
3.Watumishi wote wa umma wanyang'anywenyumba na kuhamia kwenye mahema kama wahanga wa gongo la mboto
4Ianzishwe wizara itakayo deal na vigogo na familia zao waziri riz 1 naibu waziri januari makamba katibu mkuu nape nnauye
5.ukumbi wa bunge ugeuzwe kuwa cinemax na muvi mpya zote zinazotengenezwa na kina kanumba zioneshwe huko bure
6.Watoto waruhusiwe kuanza darasa la kwanza wakiwa na miaka mitatu
7.Bidhaa zote zinazoingia nchini zisilipiwe kodi na bidhaa zinazozalishwa nchini ziongezewe kodi maradufu
8.Tanesco ibinafsishwe kwa rostam aziz
9.Mama salma kikwete awe waziri wa fedha
10.Mahakama zote nchini zivunjwe wezi ,wauwaji ,wabakaji waachiwe wanachi waamue
Yakitokea haya tutakuwa na ccm imara