Naomba website ya Wizara ya Mambo ya nje

Hapa:

www.foreign.go.tz

Thanks a lot.. Naomba pia kuuliza, kuna kitengo chochote kupitia wizara ya mambo ya nje kinachohusika na kuwaunganisha Diasporas? I mean, kuziunga mkono jumuiya mbalimbali za watanzania zilizo nje ya nchi???
 
Use the power of search engines such as "google"
 
Back
Top Bottom