Naomba msaada wa mwenye kufahamu wizara ya mambo ya nje ya Tanzania..
Thanks a lot.. Naomba pia kuuliza, kuna kitengo chochote kupitia wizara ya mambo ya nje kinachohusika na kuwaunganisha Diasporas? I mean, kuziunga mkono jumuiya mbalimbali za watanzania zilizo nje ya nchi???