Naomba wa kunisaidia kutoa icloud kwenye Iphone

Nashukuru kwa uelewa wako mkubwa mkuu wa kutambua kuwa hamna kitu ambacho kiko 100% secured.Kama Na sisi tungekuwa serious Na system programming am sure tunaweza uncover hzo vulnerabilities
Mkuu labda nikuweke sahihi usitoke nje ya mada, hapa tunazungumzia kutoa icloud activation pale iphone inapokuwa kwenye icloud activation lock na jinsi ya kutoa, hii link yako inaelezea kuhack au kujeilbrek iphone ambayo haipo kwenye state ya kuwa locked na hivi ni vitu viwili tofauti. Uzuri habari ya link imezungumzia vizuri sana kuwa kuna Software amabayo ilikuwa ukiinstall halafu ukitumiwa ujumbe ukausoma simu inajijailbreak na kuaccess kila kitu kwenye simu yako, kwa hiyo unaona kuwa hizi process zote zinafanyika wakati simu yako haipo locked. Leta fact nyingine inayoendana na hii mada
 
https://www.google.com/url?sa=t&sou...ggoMAE&usg=AFQjCNG3nA-JZTAZp5T-IjFPxkYJqh20xA

Hyo hapo vulnerability ya ku bypass icloud activation maana naona ya kwanza niliyotoa kuonyesha kuwa hamna system ambayo iko secured bado haijaeleweka.Alf ni simple kweli buffer overflow tokea za miaka 90 just different input
 
Bado hii haikuwa Solution ya moja kwa moja ya kubypass icloud activation, hii ilikuwa ni bug ya kwenye iOS 10.1.1 na sasa hivi tunasubiri iOS 10.3 ambayo ipo kwenye developer version, kwa maana hiyo hii bug tayari walishaifix unless wale wasiojali umuhimu wa Software updates ndo wanaweza kuwa kwenye risk kubwa, pia kwenye hii bug hata ulikuwa ukifanikisha kubypass icloud activation still simu ilikuwa unusable, kwa hiyo utaona ni solutions za mda mfupi zinazotokana na bugs ambazo Apple wanazifix pindi zinapotokea. Je kwa njia hii ni fundi gani mwenye uhakika wa kutoa icloud activation mda wowote!?
 
Daa we jamaa ww kweli mbishi OK naomba nieleze mtu akisema ku bypass icloud activation au kwa maneno ya ku bongo bongo akisema kuitoa icloud anaamanisha nini maana wewe usije ukawa unadhani kuwa kuitoa Ndo kuifuta
 
Alf kitu kengine kabla hujasema kuwa system iko secured kwa sababu wanatumia security enclaves ama security measure yoyote embu jaribu kufanya penetration testing wewe mwenyew au kama knowledge ya pentest haipo kwanini usifanye research kwanza Google Na hata black markets uone kama ni kweli
 
Daa we jamaa ww kweli mbishi OK naomba nieleze mtu akisema ku bypass icloud activation au kwa maneno ya ku bongo bongo akisema kuitoa icloud anaamanisha nini maana wewe usije ukawa unadhani kuwa kuitoa Ndo kuifuta
Unaweza kuniita mbishi labda kwa sababu hukubaliani na ninachotetea, kubypass na kutoa icloud ni kitu hicho hicho, ninachotaka kusema kuwa je icloud ina solution ya kudumu katika kuitoa!? Je kwa kutumia hizi njia ambazo umetupa links bado zinafanya kazi mpaka kwenye latest version za iOS!? Mfano leo hii umeletewa simu ya iphone na wala hujui ni toleo gani la iOS utakuwa na 100% ya kubypass!? Kubypass icloud activation kwa kutumia bugs za software ya simu sio solution ya mda mrefu na haina validity ya kudumu kiasi kwamba itaendelea kutumiwa no matter ni aina gani ya iphone na version gani ya iOS, tukipata wataalamu watakaojua vulnerability ya server za Apple hapo kidogo angalau watu watatoka kifua mbele ingawa naamini napo Apple haitachukua hata mda watakuwa wameshafix server zao. Sijui na hapa utaendelea kuniita mbishi is up to you
 
How to Bypass iCloud Lock on iPhone
1. Ensure that you have turned ‘Find my iPhone’ off.
2. Download the ‘Bypass iCloud Activation Lock Tool’ to your computer by clicking here .
3. Launch the program.
4. Connect your iPhone to your PC with the help of USB cable and then put your iPhone in DFU mode .
5. Now, click on the ‘Start’ button.
6. You will find a list of the modules and you should select the right model and then click on ‘Next’.
7. Let the software work its way through the process.
8. It may take 20 to 25 minutes. Once completed, your phone will reboot by itself.
9. Make sure to reset your phone again as if it is new.
Almost always, there is more than one way to do things.
 
Mkuu Mimi nimekosoma ila naona tunapishana kidogo.Lengu langu la kuonyesha hyo link cyo kudhirirsha kuwa solution yake ni ya kutoa kabisa forever Bali ni kuonyesha kuwa security holes zpo ambazo zinaweza kupa access ata kama for a short period of time kabla patch hazijatoka(zero days).Lengo kuu ni kudhirirsha kuwa hamna system ambayo iko 100% secure including icloud activation yenyewe Na kama mafundi wetu wa iPhone wangekuwa Wana passion ya computer systems wakipiga c assembly Na objective-c wangeweza Fanya reverse engineering wakawatolea watu icloud.Na cyo mafundi tu hata sisi wenyewe pia kma tukiwa passionate Na hvo vitu njia zpo
 
mrudishie mwenyewe maana ataku track na kukudaka yawe mengine
 
Icloud inatoka ila inachukua mda sana hdi ufanye ujanja ujanja mi na jamaa angu sema now yupo india ila anajua kuzitoa
Huwa anawasiliana apple wenyew anajua anavowaambia wanamtumia apple id na password
Watu wote mnaodai icloud inatoka utaskia nina jamaa yangu yuko u.k, nina ndugu yangu ila sasa yuko states nina jamaa yangu ila sasa kaenda china nina rafiki yangu ni mzungu yuko canada yani hakuna anayesema nina mtu yuko hapo mwenge anatoa
 
Mkuu Mimi nimekosoma ila naona tunapishana kidogo.Lengu langu la kuonyesha hyo link cyo kudhirirsha kuwa solution yake ni ya kutoa kabisa forever Bali ni kuonyesha kuwa security holes zpo ambazo zinaweza kupa access ata kama for a short period of time kabla patch hazijatoka(zero days).Lengo kuu ni kudhirirsha kuwa hamna system ambayo iko 100% secure including icloud activation yenyewe Na kama mafundi wetu wa iPhone wangekuwa Wana passion ya computer systems wakipiga c assembly Na objective-c wangeweza Fanya reverse engineering wakawatolea watu icloud.Na cyo mafundi tu hata sisi wenyewe pia kma tukiwa passionate Na hvo vitu njia zpo
Kumbuka soko la iphone sio kama la Android hapa Tanzania kusema kwamba kila siku utakuwa na wateja wa kutengeneza simu za iphone, leo nenda fungua kibanda cha kutengeneza simu halafu ulinganishe iphone zitakuja ngapi na simu za Android zitakuja ngapi kwa week halafu upime kama utavizia loophole ya bug itoke ndo utengeneze hiyo simu na huku mteja akiwa na zero time ya kukusuburi au utakomaa kutafuta loophole ya Apple huku wateja wengine wa simu za Android wakikurundikia mzigo wa kutengeneza simu zao ama utakuwa ni fundi wa simu za iphone tu, kwa hiyo hili unalozungumzia ni sawa for fun lakini mtu makini anayetafuta chakula kwa kupitia kazi ya ufundi hawezi kupoteza mda wake kujaribu kuhangaika na kitu ambacho anajua ni probability huku akiwa na uhakika wa wateja wengi wa simu zinazotengenezeka kirahisi kama simu za Android nk, au may be kaombe kazi ya kutafuta vulnerability za system zao
 
How to Bypass iCloud Lock on iPhone
1. Ensure that you have turned ‘Find my iPhone’ off.
2. Download the ‘Bypass iCloud Activation Lock Tool’ to your computer by clicking here .
3. Launch the program.
4. Connect your iPhone to your PC with the help of USB cable and then put your iPhone in DFU mode .
5. Now, click on the ‘Start’ button.
6. You will find a list of the modules and you should select the right model and then click on ‘Next’.
7. Let the software work its way through the process.
8. It may take 20 to 25 minutes. Once completed, your phone will reboot by itself.
9. Make sure to reset your phone again as if it is new.
Almost always, there is more than one way to do things.
Yani hii njia ni sawa na kupita dirishani wakati una funguo wa kufungua mlango.
anakwambia ensure find my iphone is off.
how will i put it off maana siwezi access chochote simu inaishia kwenye activation screen.
ukiweza kufika kwenye settings za simu kuondoa find my iphone ina maana usha solve 90% ya tatizo ikiwa ina maana una details za apple id huutaji kufoji.
hii njia isha fail kuanzia step 1
 
Hawa ndo wanapita mtaani na kuwaaminisha watu kuwa icloud activation lock inatoka kirahisi
 
Kumbuka soko la iphone sio kama la Android hapa Tanzania kusema kwamba kila siku utakuwa na wateja wa kutengeneza simu za iphone, leo nenda fungua kibanda cha kutengeneza simu halafu ulinganishe iphone zitakuja ngapi na simu za Android zitakuja ngapi kwa week halafu upime kama utavizia loophole ya bug itoke ndo utengeneze hiyo simu na huku mteja akiwa na zero time ya kukusuburi au utakomaa kutafuta loophole ya Apple huku wateja wengine wa simu za Android wakikurundikia mzigo wa kutengeneza simu zao ama utakuwa ni fundi wa simu za iphone tu, kwa hiyo hili unalozungumzia ni sawa for fun lakini mtu makini anayetafuta chakula kwa kupitia kazi ya ufundi hawezi kupoteza mda wake kujaribu kuhangaika na kitu ambacho anajua ni probability huku akiwa na uhakika wa wateja wengi wa simu zinazotengenezeka kirahisi kama simu za Android nk, au may be kaombe kazi ya kutafuta vulnerability za system zao

Na ndio sababu ambayo inafanya sector ya computer humu nchini isiendelee kwa sababu watu wengi hawana passion Na programming kama walikuwa nayo wakina billgate Na zuckernburg kabla hata hawajatengeneza hela.Kila MTU anaweza hela kwanza passion Na fun ya ku solve problems watu hawaijengi wao ni programming for money.Programming is supposed to be fun una debug code unagundua vulnerabilities una modify system una solve problems hela ndyo zitakuja zenyewe
 
Back
Top Bottom