Naomba uzoefu wa VW toureg

Naomba uzoefu wa VW toureg

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,879
habari wakuu ,,
kama kichwa cha habari hapo juu , naomba uzoefu wenu kabla sijafahya haya maamuzi
 
Ingia google kuna taarifa za ukweli na za uhakika Ila yangu ni haya
Usije ujafanya service vichochoroni
Tumia lubricants sahihi zilizoandikwa kwenye gari
Fanya diagnosis kwa mtu anayejua kusoma codes na tafsiri zake
Weka mafuta kwenye vituo kama Engen Total Puma Gapco
 
Back
Top Bottom