Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Mkuu baki huko huko kwa ushauri wangu, japo Tz tatizo kubwa ni Jiwe lakini bado kuna unafuu na usalama wa kutosha. Epuka sana kuishi ugenini.
Kwa kweli tuvumilie tu maana jiwe lenyewe karibia linakata moto! Nchi yetu nzuri sana jamani basi wapumbavu wachache wanaofanya ionekane kama jehanamu lakini ni nchi nzuri sana iliyojaa fursa. Nimefika huku Loliondo kwa kweli nimeshangazwa na uzuri wa ardhi ya huku kwa kweli kama mtu wewe ni mpambanaji ni sehemu moja nzuri kwa Kilimo! Shida niliyoiona ni ubovu wa barabara, Jiwe kuwatenga sana hawa raia! Unajiuliza kwanini aliamua kwenda kumwaga ile hela kule baharini wakati bado kuna wilaya zina barabara mbovu kiasi hiki?
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
mzee niikija ntakushtua
 
Da hapo kwenye pisi kali hata mimi nampinga... Kampala kuna pisi za ukweli za kutosha...uvaaji wao sasa..
 
Bongo fursa kibao, usiwe mtu wa nishai tu kama vipi ama mkoa...Kampala napo kuzuri kwasababu watu wapo business-oriented sana...inaonekana waaminifu sana...Frame moja unakuta wapo kama kumi ingawa dukani unaeza mkuta mmoja akiuza vitu vyake na vya wenzie...halafu migration kule hawasumbui sana tena ukijua kuongea lugha yao ndio wanaweza kukusahau kabisa
 
Da hapo kwenye pisi kali hata mimi nampinga... Kampala kuna pisi za ukweli za kutosha...uvaaji wao sasa..
Wanapenda vimini mno wanawake wa huko, nadhani sababu wana supporting documents . (miguu ya bia, makalio na hips)

Anyways, kwako mleta mada, sijui kuhusu ajira uganda ila kibiashara wako mbali kulinganisha na sisi, na hakuna ukiritimba mwingi. Pesa ipo matumizi yako chini kama si mla bata.
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Kama unasifia waganda ni wazuri basi hujawahi kuona mwanamke mzuri toka uzaliwe, kampala nzima kumpata mwanamke mzuri inabidi ujipange kwelikweli kutafta, waliowengi sura kama ugali mweusi ukiona mzuri jua ana asili ya Rwanda na katika 1000 unaweza pata 3
 
Wanapenda vimini mno wanawake wa huko, nadhani sababu wana supporting documents . (miguu ya bia, makalio na hips)

Anyways, kwako mleta mada, sijui kuhusu ajira uganda ila kibiashara wako mbali kulinganisha na sisi, na hakuna ukiritimba mwingi. Pesa ipo matumizi yako chini kama si mla bata.
Yes kwa hela wako poa sana hata muuza box ana uhakika wa maisha, bodaboda anaouwezo wa kumpeleka mwanae shule nzuri, mlo wao ni mara 4 kwa siku, asubuhi msosi saa 7 msosi, saa 10 chai then usiku msosi , wanakula balaah, na hiyo yote ni milo kamili sio wali maharage tuu kama bongo.
 
Ni kweli, vyakula kama ndizi, samaki, nyama, mamboga mboga zipo za kutosha. Nimezimiss rolex, Zile chapati zinawekwa yai la kukaanga ndani halafu wanaziroll kwa pamoja.
 
Nadhani Kenya ni poa sana hata kumbandika mtu mzigo kichwani ni hela, watu wengi wana husle hakuna kujuana sana uwe na talent umetoboa, hata ukusanye watu uwahubirie ni poa tu unakula mkwanja.
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Mi mwenyewe nahamia huko

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom