Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Nadhani Kenya ni poa sana hata kumbandika mtu mzigo kichwani ni hela, watu wengi wana husle hakuna kujuana sana uwe na talent umetoboa, hata ukusanye watu uwahubirie ni poa tu unakula mkwanja.
Kenya maisha tight sana ndugu. Sana sana. Kwanza mtanzania kupata kazi rasmi ofisini unless uwe exceptional sana. Mtaani ndo kugumu hatari. Kule kupata 1000ksh (ngiri moja ni shughuli). Pia usalama ni shida. Ukirudi nyumbani salama unashukuru Mungu. Mavijanaa wengi hawana kazi kupora kuiba kwa kuvunja ni jambo la kawaida. Chilia mbali polisi ni wezi wengine watakuwinda kila kona esp usiku.
Naijua Kenya kiasi labda ukaishi kwa ushuani ambako rent ya appartment ni zaidi ya 10k ksh kwa mwezi chumba kimoja tu seft contained. Ukiishi mtaa wa kawaida kubali kukutana ma vibaka kila time cz kule hakuna time ya kukabana unakabwa muda wowote.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, hawa jamaa hawako poa kabisa.
 
Kavera(mfuko) nilishaanza kusahau hii lugha asee!Mimi pia nimemiss sana pande hizo once ukiishi Kampala huwezi acha kupamiss asee...
Nimepamis kinoma ndugu. Nmemis Wandegeya, bugolobi, ntinda kikoni, makerere kule uswahilini bwaise kama unaenda kawempe, mukono, entebbe dah kitambo kampala

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Kavera(mfuko) nilishaanza kusahau hii lugha asee!Mimi pia nimemiss sana pande hizo once ukiishi Kampala huwezi acha kupamiss asee...
Kaunga ne chenyanja che bhinyobhwa ne kamulali =ugali na samaki wa karanga na pilipili.
Hahaaaa kwa maakuli jamaa hawako nyuma
 
Mkuu naomba nitajie Fursa za Misenyi na Maswa nizijue nijichange kabisa
Unataka Kwenda Wapi Ndugu Yangu?
Anza Kuishi Haya Maeneo Utafurahi Sana
Dodoma Nenda Chamwino Hapo
Kigoma Nenda Haya Maeneo Kasulu, Buhigwe, Kakonko, Uvinza,

Maswa Maeneo Haya Igangabhilili, Mwanhuzi, Lalago Huko Njia Panda

Kagera, Misenyi, Kalenge,
Hayo Maeneo Utakula Raha
 
Nilifika 2016 kampala ni sehemu nzuri kumechangamka kwa biashara pia wafanya biashara wapo makini,harafu ule mpango wa kariakoo lete hiyo nijalibu bila kununua hawapendi.Kwa yote watu wanaheshimiana,ila kama mpenda starehe watoto wa kumwaga.
 
Kenya maisha tight sana ndugu. Sana sana. Kwanza mtanzania kupata kazi rasmi ofisini unless uwe exceptional sana. Mtaani ndo kugumu hatari. Kule kupata 1000ksh (ngiri moja ni shughuli). Pia usalama ni shida. Ukirudi nyumbani salama unashukuru Mungu. Mavijanaa wengi hawana kazi kupora kuiba kwa kuvunja ni jambo la kawaida. Chilia mbali polisi ni wezi wengine watakuwinda kila kona esp usiku.
Naijua Kenya kiasi labda ukaishi kwa ushuani ambako rent ya appartment ni zaidi ya 10k ksh kwa mwezi chumba kimoja tu seft contained. Ukiishi mtaa wa kawaida kubali kukutana ma vibaka kila time cz kule hakuna time ya kukabana unakabwa muda wowote.
Sawa mkuu ila kwa Kenya nimewahi kuishi Nairobi kule Embakasy kwenye apartment za Nyayo na Migori mitaa ya Kanisa la pefa so kote huko sijawahi kukutana na hayo majanga.
 
Kanda ya ziwa yote Tu kwenda mpaka huko Uganda , wanawake Wana shape matata Sana Ila Sura za hovyo mnooo na usafi almost ni zero 😋😋 wengi sio Wasafi kabisa
Sura ni -0
 
Kwa kweli tuvumilie tu maana jiwe lenyewe karibia linakata moto! Nchi yetu nzuri sana jamani basi wapumbavu wachache wanaofanya ionekane kama jehanamu lakini ni nchi nzuri sana iliyojaa fursa. Nimefika huku Loliondo kwa kweli nimeshangazwa na uzuri wa ardhi ya huku kwa kweli kama mtu wewe ni mpambanaji ni sehemu moja nzuri kwa Kilimo! Shida niliyoiona ni ubovu wa barabara, Jiwe kuwatenga sana hawa raia! Unajiuliza kwanini aliamua kwenda kumwaga ile hela kule baharini wakati bado kuna wilaya zina barabara mbovu kiasi hiki?
Hatimaye utabiri ulitimia
 
Watu wengi tunapenda kwenda au kukaa sehemu ambazo fursa zimekwisha,sehemu yenye mitaji mikubwa na biashara zenye ushindani n.k.hii yote inatufanya kudumaa sana kuona sehemu kama miji ndio pakutokelea maisha kumbe unaweza kwenda na mtaji waku wowote kuanzia laki tano sehemu ambazo fursa zina hitajika.

Nilijiuliza sana watu wanapenda wakisikia pamechangamka ndio na wao wanakwenda au kujaribu,tanzania ina fursa nyingi mikoani ndani ndani mpaka na viunga vyake.

Unaweza kuchukua vitu vilivyopo mjini,mawazo,bizaa,kumbi za starehee ukapeleka huko.nimejifunza sana mikoani na ukiwa mikoani unatamani utokomee kwenye vijiji vidogo ili ukifungua jambo ambalo linaweza kuwa msaada hapo vijijini basi utajiri unaanzia hapo kwa vile wewe ndio umefungulia
Nilitembelea kijiji kimoja kinaitwa mrijo huko kondoa,kijiji kina wafanyabiashara wa mahindi,alizeti wafanyakzzi na wakulima,ila hakina tawi la benki hata moja,kuna mjanja mmoja kafungua ofisi yake ya mobile money kaweka na mashine za nmb na crdb anapiga hela balaaa wenyewe ndo wanaita benki! Nikajiuliza hizi wakala za mobile money huku mjini zipo kila baada ya nyumba mbili wanspokonyana wateja mpaka wanarogana kumbe huko kijiji i ukifungia unaitwa benki kabisa,tz fursa zipo nyingi sana ila wengi akili zetu tumezielekeza mijini!
 
Uoga huo tatizo ni jiwe ila ugenini hapana shida kabisa una epuka nini unaweza ukatoka na aidia hapa ukaipeleka kule ukapiga noti..sema kwa sasa tz ni bora kuliko huko kwengine sababu ya kovid ila vitu vimeumana hapa tz kinoma kwa sasa ingekuwa sio kovid ungekuta nshajiposition inchi jirani...rwanda tu ndio sijawahi kuifika au kuitafiti ki maisha na kiutafutaji.

Kenya ni poa sana hata kumbandika mtu mzigo kichwani ni hela...watu wengi wana husle hakuna kujuana sana uwe na talent umetoboa...hata ukusanye watu uwahubirie ni poa tu unakula mkwanja.

Umachinga unafanyika nafedha ina dhamani....ila bangi tu ndio noma...uganda kwangu pa kulia bata au mitaji mikupwa uimport utainjoy..maana biashara zao na lugha yao kupenya mitaaani ni kazi sana kwa sisi waswahili na english na biashara zao zinaushindani si wakitoto mtaa una maduka kama ni boxer ni boxer wote.

Magauni hivyo hivyo so ili kuwin ni kukimbizana na fashion na uchaguzi mzuri wa bidhaa.. ukikuta ni printing zinafanywa kwenye mall moja kwa hio ubunifu ni wa kufa mtu..hapo kwa mimi nilikuwa nachukua maujanja kule nakuja nayo hapa hata material.

Burundi kipindi naenda kulikuwa na ukaguzi wa wageni wa kufa mtu ila maisha ya utafutaji kama bongo na hela yao ipo chini sana.
Uko sahihi mkuu
 
Nilitembelea kijiji kimoja kinaitwa mrijo huko kondoa,kijiji kina wafanyabiashara wa mahindi,alizeti wafanyakzzi na wakulima,ila hakina tawi la benki hata moja,kuna mjanja mmoja kafungua ofisi yake ya mobile money kaweka na mashine za nmb na crdb anapiga hela balaaa wenyewe ndo wanaita benki! Nikajiuliza hizi wakala za mobile money huku mjini zipo kila baada ya nyumba mbili wanspokonyana wateja mpaka wanarogana kumbe huko kijiji i ukifungia unaitwa benki kabisa,tz fursa zipo nyingi sana ila wengi akili zetu tumezielekeza mijini!
Sometimes watu hawafungui hz mpesa,tgopesa,nmb wakala n.k kutokana na usalama+umbali wa kufata float. We fikiria huko kjjn mida ya saa 12 kushapoa kila mtu kajifungia ndan kwake afu wez wakakuvamia ghafla nan atakusaidia? Afu umbali kwenda mjn kuweka flot unakuta ile faida yote inaishia kwny nauli
 
Back
Top Bottom