Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Naomba uzoefu wa maisha ya Uganda

Kwa nchi za jirani na Tanzania sidhani kama kuna yenye unafuu, tena na hii Covid nchi nyingi wana lock down,ajira nyingi zimekufa n,k
Au kama kuna dili ama kazi ipo tyr imeiva apo sawa unaweza kwenda uko UG.

Kikubwa badili mkoa kama vipi.

Tanzania bado pana fursa tofauti,na mazingira ya mkoa mmoja na mwingine pia ni tofauti.
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao.
 
Sioni kama kuna Nchi mbadala ya kuishi katika ukanda huu wa Africa Mashariki na kati.....Tanzania ni moto...zunguka mikoa mitano ya Nchi hii kwanza kabla ujikatishe tamaa mkuu.

Kenya Kachumbari tuu inauzwa kitofauti. Uganda Mademu ni Wachafu...Rwanda madem wana tamaa sana....Burundi ushamba ni mwingi....Kongo kazi wameachiwa wanawake.
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Hahahahah kwamba wote wana Bonzemba A.K.A Kishundu.raha sana kaka.
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Naunga mkono hoja mzee wangu... Nilitembelea Kampala 2018 japo sikuzunguka sana ila maeneo niliyopita macho yalisuuzika
 
Kwa kifupi Maisha ya hapa nyumbani yamenichosha nataka kujirelocate sehemu nyingine kama Uganda vile lakini nataka kufahamu kidogo kutoka kwa maxpart wa nchii hii. Gharama zikoje hasa za room za kuishi.
Mkuu baki huko huko kwa ushauri wangu, japo Tz tatizo kubwa ni Jiwe lakini bado kuna unafuu na usalama wa kutosha. Epuka sana kuishi ugenini.
 
Naunga mkono hoja mzee wangu... Nilitembelea Kampala 2018 japo sikuzunguka sana ila maeneo niliyopita macho yalisuuzika
Watu wanapenda sana story za vijiweni ikiwa wenyewe hawajawahi kufika sehemu husika ..
 
Uoga huo tatizo ni jiwe ila ugenini hapana shida kabisa una epuka nini unaweza ukatoka na aidia hapa ukaipeleka kule ukapiga noti..sema kwa sasa tz ni bora kuliko huko kwengine sababu ya kovid ila vitu vimeumana hapa tz kinoma kwa sasa ingekuwa sio kovid ungekuta nshajiposition inchi jirani...rwanda tu ndio sijawahi kuifika au kuitafiti ki maisha na kiutafutaji.

Kenya ni poa sana hata kumbandika mtu mzigo kichwani ni hela...watu wengi wana husle hakuna kujuana sana uwe na talent umetoboa...hata ukusanye watu uwahubirie ni poa tu unakula mkwanja.

Umachinga unafanyika nafedha ina dhamani....ila bangi tu ndio noma...uganda kwangu pa kulia bata au mitaji mikupwa uimport utainjoy..maana biashara zao na lugha yao kupenya mitaaani ni kazi sana kwa sisi waswahili na english na biashara zao zinaushindani si wakitoto mtaa una maduka kama ni boxer ni boxer wote.

Magauni hivyo hivyo so ili kuwin ni kukimbizana na fashion na uchaguzi mzuri wa bidhaa.. ukikuta ni printing zinafanywa kwenye mall moja kwa hio ubunifu ni wa kufa mtu..hapo kwa mimi nilikuwa nachukua maujanja kule nakuja nayo hapa hata material.

Burundi kipindi naenda kulikuwa na ukaguzi wa wageni wa kufa mtu ila maisha ya utafutaji kama bongo na hela yao ipo chini sana.
Mkuu baki huko huko kwa ushauri wangu, japo Tz tatizo kubwa ni Jiwe lakini bado kuna unafuu na usalama wa kutosha. Epuka sana kuishi ugenini.
 
Unataka Kwenda Wapi Ndugu Yangu?
Anza Kuishi Haya Maeneo Utafurahi Sana
Dodoma Nenda Chamwino Hapo
Kigoma Nenda Haya Maeneo Kasulu, Buhigwe, Kakonko, Uvinza,

Maswa Maeneo Haya Igangabhilili, Mwanhuzi, Lalago Huko Njia Panda

Kagera, Misenyi, Kalenge,
Hayo Maeneo Utakula Raha
 
Watu wengi tunapenda kwenda au kukaa sehemu ambazo fursa zimekwisha,sehemu yenye mitaji mikubwa na biashara zenye ushindani n.k.hii yote inatufanya kudumaa sana kuona sehemu kama miji ndio pakutokelea maisha kumbe unaweza kwenda na mtaji waku wowote kuanzia laki tano sehemu ambazo fursa zina hitajika.

Nilijiuliza sana watu wanapenda wakisikia pamechangamka ndio na wao wanakwenda au kujaribu,tanzania ina fursa nyingi mikoani ndani ndani mpaka na viunga vyake.

Unaweza kuchukua vitu vilivyopo mjini,mawazo,bizaa,kumbi za starehee ukapeleka huko.nimejifunza sana mikoani na ukiwa mikoani unatamani utokomee kwenye vijiji vidogo ili ukifungua jambo ambalo linaweza kuwa msaada hapo vijijini basi utajiri unaanzia hapo kwa vile wewe ndio umefungulia
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Nyankole from mbarara, acha buana si mchezo, anyway wengi wanaoiponda Ug labda hawajafika au wameishi kwa muda mfupi.
 
Mkuu nina mwaka wa 6 hapa Uganda, kifupi maisha ya huku mazuri ilimradi tu uweze kujishughulisha hela inaonekana, alafu nimeona comment ya member mmoja hapo juu kwamba mademu wa huku sura ngumu kitu ambacho sio kweli, mademu wa huku wazuri wapo wengi tu na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba mademu wa huku hakuna asiye na msambwanda ni kama wanarithishana kila mtu anao ..
Nimekusoma Mzee baba, mara ya kwanza nafika Kampala nilikua nashangaa misambwanda tu, Niko Mukono hapa nacheki totozi za UCU
 
Back
Top Bottom