Ndo kanipenda hivo hivyo sijatulia na nimeshakujua sasa nikuone unajisogeza kwake na kwangu sitaki ujirani wala urafiki nawewe.......et sijatuliaaa! unadhani navyosemaga namichepuko ni kweli shoga?? zile ni stori za kunogesha kijiwe shoga
Na kwataarifa yako mwezi ujao wanaleta posa
Hello guys,
I need ur help, Nlivyokua nasoma sikutaka kujiusisha na mapenzi..ingawa nlipata challenges nyngi nashukuru mungu nkamalza had form six bila shida.
Baada ya shule I real wanted niwe kweny mahusiano, kila aliyentokea kabla sijamjibu nilimchunguza almost wote sikupata ninae mtaka as days went on, nikakukutana na mtu ambae nahisi ndio nliyekua namtafuta.
Ajanitokeana wala hatujazoeana, nlitokea kumpenda kiukweli, nkaamua nimchunguze, kwa uchunguzi wangu nimegundua ana mchumba ambae ni jirani yetu, niliamua nmuachie huyo dada lakini cha kushangaza huyo dada ajatulia.
Nifanyaje? ushauri
Ww hilo ni pepo, acha kabsa. cha msingi rudi kwnz kanisani na mungu atakupa mume mwema, la cvyo jiandae kuwekwa matara
Hello guys,
I need ur help, Nlivyokua nasoma sikutaka kujiusisha na mapenzi..ingawa nlipata challenges nyngi nashukuru mungu nkamalza had form six bila shida.
Baada ya shule I real wanted niwe kweny mahusiano, kila aliyentokea kabla sijamjibu nilimchunguza almost wote sikupata ninae mtaka as days went on, nikakukutana na mtu ambae nahisi ndio nliyekua namtafuta.
Ajanitokeana wala hatujazoeana, nlitokea kumpenda kiukweli, nkaamua nimchunguze, kwa uchunguzi wangu nimegundua ana mchumba ambae ni jirani yetu, niliamua nmuachie huyo dada lakini cha kushangaza huyo dada ajatulia.
Nifanyaje? ushauri
mpe mpe mpe watu weweeeeeeeeeeeee! uko vizuri.
Biashara za wetu wengine zinakuhusu nini?
Wakati unasubiri matokeo ya form six, endelea kuomba Mungu ili yawe mazuri acha kuwaza ngono