naomba ushauri

naomba ushauri

masakafyuku

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
25
Reaction score
2
kufanya tendo la ndoa na mwanamke aliyemaliza dozi ya UTI jana kunaweza kukusababishia maambukizi??
 
Ndio, kunaweza kusababisha maambukizi ni vyema ukasubiria wiki mbili ziiishe.
 
i see
Mwalimu wa sayansi kimu alitufundishaje?
 
kwa nini hamkutumia kinga?hii lamba lamba hatari.yaani unaona mwenzio mgojwa hata kujiongeza kidogo kuchukua kinga hapana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom