Naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MotoYaMbongo, Oct 25, 2012.

 1. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Rafiki yangu ni mwl wa leseni, anakatwa pensheni, ila hana diploma wala cheti cha ualimu, lakini amejiendeleza na kupata advanced diploma ya accountancy, sasa ameomba abadilishiwe kazi na muajiri (mkurugenzi mtendaji wa wilaya) anazungushwa sana, akaambiwa eti hadi awe na Dip ya ualimu au Post graduate ya Elimu ndo anaweza kufanyiwa recategorization. Sasa afanyeje? Na hana ajira ya kudum hadi sasa? Je, ni kweli ili abadilishiwe kazi lazima awe mwl wakati Halmashauri ina upungufu wa wahasibu na yeye amesomea uhasibu? Ikoje jamani, mwenye ufahamu na mambo haya msaada wa ushauri tafadhali.
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Na pia alishaandika barua TAMISEMI wakamjibu kuwa mwenye uwezo wa kumfanyia recategorization ni halmashauri yake. Lakini bado anaambiwa hadi awe mwl by proffession ndo abadilishiwe. Yuko njiapanda.
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwanini asitumie hiyo Advanced Dip ya Accountancy ambayo ni mali kuliko hiyo kazi ya chaki? Hana haja ya kuhangaikia kitu ambacho hajasomea wakati akikalia taaluma aliyosomea.
   
Loading...