G
Naona dogo umeanzisha kamradi upige pesa za wenzio? we soma acha kupoteza muda na michango mpuuzi wewe kazi kukopi assignment za watu!Mimi ni mwanafunzi wa udakitari mwaka 3(MD3) katika chuo kikuu cha Afya Bugando.
Kuna malumbano hapa mnaweza kutusaidia kutatua hii changamoto au kutushauri kama viongozi watarajiwa katika jamii zetu baada ya kumaliza chuo.
Tunautaratibu wa kusaidiana kuchangiana kiasi chochote cha pesa ili kumfariji na kumpa mkono wa pole mwanafunzi yeyote aliyepata matatizo eg kufiwa na wazazi ,kupata ajali au kuumwa.
Je mwanafunzi ambae hatoi ushirikiano wa kuguswa na matatizo ya wenzake, siku akipata matatizo ya kufiwa na mzazi wake afu tukagoma kumchangia rambirambi tutakuwa tumekosea? , Naomba ushauri wenu.Ahsante
Zingatia hekima hii ya yesu aliye zungumza kwenye biblia.Mimi ni mwanafunzi wa udakitari mwaka 3(MD3) katika chuo kikuu cha Afya Bugando.
Kuna malumbano hapa mnaweza kutusaidia kutatua hii changamoto au kutushauri kama viongozi watarajiwa katika jamii zetu baada ya kumaliza chuo.
Tunautaratibu wa kusaidiana kuchangiana kiasi chochote cha pesa ili kumfariji na kumpa mkono wa pole mwanafunzi yeyote aliyepata matatizo eg kufiwa na wazazi ,kupata ajali au kuumwa.
Je mwanafunzi ambae hatoi ushirikiano wa kuguswa na matatizo ya wenzake, siku akipata matatizo ya kufiwa na mzazi wake afu tukagoma kumchangia rambirambi tutakuwa tumekosea? , Naomba ushauri wenu.Ahsante
Hiki kitu kinahitaji uelewa mkuu.!!!?. Haya ni mambo ya kijamii busara inahitajika kushauri.Mwanafunzi upo mwaka wa tatu, unasoma sayansi....ishu ndogo kama hii unaileta hapa ? Ushauriwe nini sasa ?
Nyie ndio mkija kuajiriwa mnafanya matibabu viseversa.....kichwa unapasua goti....na goti unapasua kichwa ... uelewa mdogo
Hiki kitu kinahitaji uelewa mkuu.!!!?. Haya ni mambo ya kijamii busara inahitajika kushauri.
Kwa utaratibu wenu; kuchangiana "kiasi chochote cha pesa ili kumfariji.." inamaanisha nini?? Dkt. mtarajiwa, unaonaje mwenzenu akija kumshika mkono na kumtamkia "Pole rafiki yangu; Mungu akupe afya na nguvu ya kuvumilia kipindi hiki kigumu kwako kisha akaketi pembeni yake na kuongea(Mazungumzoya kumfariji)" na akaondoka bila kutoa hata senti moja. Je, atakuwa hajachangia chochote? Tumieni Busara na Hekima zenu.Mimi ni mwanafunzi wa udakitari mwaka 3(MD3) katika chuo kikuu cha Afya Bugando.
Kuna malumbano hapa mnaweza kutusaidia kutatua hii changamoto au kutushauri kama viongozi watarajiwa katika jamii zetu baada ya kumaliza chuo.
Tunautaratibu wa kusaidiana kuchangiana kiasi chochote cha pesa ili kumfariji na kumpa mkono wa pole mwanafunzi yeyote aliyepata matatizo eg kufiwa na wazazi ,kupata ajali au kuumwa.
Kama Utaratibu mliojiwekea unasema hivyo, na mkiamua kusimamia hapo na kutimiza ilivyoandikwa; mtakuwa hamjakosea ila msiache kwenda kuzungumza naye na kumfariji, halafu mliweke wazi kwamba mtu binafsi anaweza kutoa chochote alichonacho i.e. Msiwagomeshe na wale wenye roho ya kutoa bila kuzingatia Utaratibu wa Andiko lenu.Je mwanafunzi ambae hatoi ushirikiano wa kuguswa na matatizo ya wenzake, siku akipata matatizo ya kufiwa na mzazi wake afu tukagoma kumchangia rambirambi tutakuwa tumekosea? , Naomba ushauri wenu.Ahsante
Ushauri mzuri kwa mfano.Tulikuwa na mtu wa aina hiyo ofisini, kila kitu ni kupinga tu na hakuwahi kumchangia mtu. Alipopatwa na tatizo tukakubaliana tushiriki kikamilifu kwa hali na mali. Tulijitoa mpaka familia yake ikashangaa. Baada ya hapo alibadilika na kuwa na ushirikiano na wenzake.
Safi kabisa. Tusiende kwa kauli ya Jino kwa jino au Tit for Tat.Ushauri mzuri kwa mfano.
Wakati mwingine matendo mema hubadirisha mtazamo na misimamo ya wanaopinga.
Huwa napenda sana ule mstari wa biblia (sijui ni Mathayo au Yohana....au nani vile).
"Hubirini kwa matendo yenu"