πππ Umeniwahi mkuu ila acha na mimi nijaribu bahati yangu, Usiishi kwa kubahatisha maisha mtoto mzuri me nipo Songea nafanya kazi halmashauri ya Songea,
Njoo tuanzishe maisha unaonekana ni binti mwenye utulivu wa kiakili.
Miss usinune,
Tuonane inbox tuyajenge tafadhali kama utaridhia,
Tutaanza na urafiki then ukihisi tunaendana tutaboresha zaidi uhusiano wetu.
Ahsante π
Miss usinune,
Tuonane inbox tuyajenge tafadhali kama utaridhia,
Tutaanza na urafiki then ukihisi tunaendana tutaboresha zaidi uhusiano wetu.
Ahsante π