Naomba ushauri

Naomba ushauri

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
323
Reaction score
1,128
Niko na familia ambayo tunahitaji kucheza vikoba online tufanyeje jamani? Mana tupo mikoa tofauti tofauti !!! Vipi tukifungua account tutatofautishaje fedha ya Kila mmoja mana Kila mtu aki deposit haitaeleweka ipi ni ipi na viongozi wawe wangapi au tuifanye kama Ile m koba lakini lengo letu ni kucheza vikoba na mwisho wa siku kuvunja Kila mtu aondoke na chake na vipi kuhusu mkopo mtu akitaka kukopa kiwango chake Cha fedha alichoweka inabidi kiwe sh ngapi ata sheria mnishauri tu mana mimi ni zero brain darasa la Saba B lakini natamani kuwa na maendeleo fulani kwenye aya maisha Asanteni.
 
Back
Top Bottom