Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,333
Ok ni mafuta ya kupikia.
Ok ni mafuta ya kupikia.
Pika basi nije kulaOk ni mafuta ya kupikia.
Siyo kila kitu huliwa.Vingine humla mwenye njaa.Pika basi nije kula
OKSiyo kila kitu huliwa.Vingine humla mwenye njaa.
Hivi,kwa nini vijana wengi hamjui kujieleza?Sasa,hapo umeuliza,umeomba ushauri au umeongea peke yako?



Hivi,kwa nini vijana wengi hamjui kujieleza?Sasa,hapo umeuliza,umeomba ushauri au umeongea peke yako?




@mshamba_hachekwiKaongea peke yake![]()
jinsia yako tafadhali
Kuna ME huwa 'akilazimishwa' anachukia?Me au Ke?
Okbasi huyo Yellow donaty atakuwa hana antena ya kutaftia signal
usemi jinsia yako why? hakuna anaekujua humu be free ili usaidike mkuu
Wamejiua halafu wakatoroka nchi.Wapo Burundi.waliogeuza hilo dishi waadhibiwe milele
joanah mbona leo unakesha, kuna mechi nini??😬Asante kwa tafsiri 😂😂
Huna baya
Donati la njano ina maana halijaiva hilo.Likiiva lazima liwe la "uzurungi"! Brownies!Asante kwa tafsiri 😂😂
Huna baya
![]()
kwakuwa una changamoto ya afya ya akili nakupa pole tafuta suluhisho.



joanah mbona leo unakesha, kuna mechi nini??😬