sasha itelewe
Member
- Aug 30, 2013
- 81
- 78
mtoto wangu ana ufaulu wa EDD,PCM ni msichana .round ya kwanza tulijaribu ardhi,udom,mzumbe na udsm kwa course za information system ,bcom (udsm na building economy ardhi tumekosa zote.tumejaribu second round kuona uwezekano.je asipofanikiwa naweza jaribu course zipi tena na vyuo gani.ukizingatia watu wa pcm hawana sana vyuo binafsi,naomba ushauri nachanganyikiwa form four alipata one ya 12