Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.

Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.

Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.

Nishaurini nifanye nini

just move on with life its not the end of world
ujanja ni kuwahi, nimempenda sana kwani alichokifanya hapo ni kuhamisha maumivu upande wa pili.....Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
Labda kaona nae utakuja kumwacha kwaajili ya mtu mwingine.
Pole...songa mbele!!!
Hii accusation ya 'kanipotezea muda' huwa inanisumbua.Ninachofahamu mimi muda ni collection ya moments,sasa hizo moments ambazo mlikuwa mnapagawaishana nazo unazihesabu kuwa ulikuwa ni upotevu wa muda? jamani si uli enjoy moments hizo? It takes two to tangle, kama muda wako unaona ulipotea basi ujue na wa kwake ulipotea pia.Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
Nilikuwa kwenye relationship na mtu for three years now. Mwaka huu mwanzoni nikaanza kuona changes kutoka kwake, na kikubwa hata mapenzi nikaona kabisa yamepungua achilia mbali mambo mengine, ilipofika mwezi wa tano, nikaona nashindwa kabisa, nikamwambia naomba tufikie mwisho manake tunakoelekea binafsi sipendi.
Akanijibu hapana hawezi kuniacha na wala hatakubali kunipoteza na mapenzi yakarudi kama tulivyokuwa awali. Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni hili lilitokea wiki moja iliyopita, kanipigia simu kaniambia anaomba tufikie mwisho haitaji tena kuwa na mimi na anaomba niheshimu maamuzi yake.
Ukweli nimeumia sana kwa sababu mimi nilikuwa wakwanza kumwambia tuachane akakataa, akarudisha mapenzi moto moto then kaniacha ghafla, inaniuma coz kanipotezea muda for three years na wakati tunaanza relationship yetu nilikuwa na boyfriend na alisababisha tukaachana.
Nishaurini nifanye nini
.what the hell is this? Unabreak up with ur man because of another boyfriend.....huh! Umeona sasa wanaume jinsi walivyo wanafiki eeh? Yaani hapo keshahisi kwamba na yeye ungekuja kumuacha kama ulivomwacha wa kwanza. Pole sana but just accept the reality and face it no need to cry my dear, let it be the history!
kubali yameisha
accept it gracefully