badali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 212
- 81
Kuna chuo niliomba toka 1st round na jina langu limekuja katika yale selected but not approved mpaka sasa.
Na nikaomba tena chuo chengine katika 2nd round ila nikakosa. Je naweza kuomba tena katika 3rd round hiki chuo nilichokosa 2nd round au nisiombe nisubiri hiki chuo cha first round watatue tatizo lililokuwepo?