Naomba ushauri ya jinsi ya kuchagua kozi

Naomba ushauri ya jinsi ya kuchagua kozi

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Ana two ya 12 PCB kama ifuatavyo Chem C bios C phy S kuna course ya mefical lab inataka point 6 na at least awe phy ana E kwa muongozo wa TCU JE KWA HAYO MATOKEO ANAWEZA PATA MEDICAL LAB??? AU UNAMSHAURI NINI MDOGO WANGU AKASOMEE MSAADA PLZZZ
 
Umeandika kinyakyusa kweli kweli ndugu yangu Ally.

Ushauri wangu ni kwamba ajaribu kuomba kozi za SUA na UDSM kwa sababu kwenye kozi za afya ushindani ni mkubwa mno mwaka huu na hii inatokana na idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu hasa hao PCB.

PCB karibia wote wa Tanzania huwa wanawaza "kozi za afya", vita ni kali huko.
 
Kwa vigezo vya TCU hawezi kusoma fani ya afya mwambie aangalie fani nyengine
 
Umeandika kinyakyusa kweli kweli ndugu yangu Ally.

Ushauri wangu ni kwamba ajaribu kuomba kozi za SUA na UDSM kwa sababu kwenye kozi za afya ushindani ni mkubwa mno mwaka huu na hii inatokana na idadi kubwa ya wanafunzi kufaulu hasa hao PCB.

PCB karibia wote wa Tanzania huwa wanawaza "kozi za afya", vita ni kali huko.
Asente kwa ushauri je ww mdao kwa hayo matokeo unaona aende kozi gani????? Ukiachana na ualimu
 
Sasa fani gani aende ndugu kwa hayo matokeo hata vya private ww taja tu ili nimtajie kozi za kusuma mapema

Kama ni mzuri wa sura na umbile, mpeleke akasomee diploma ya katibu muhutasi... Huko (kwenye afya) ataenda ku husstle wakati ajira zenyewe mishahara mbuzi. Bora asome vitu rahisi aje apate mshahara huo huo, I tell you.
Kwenye afya kusoma ni hustle na mazingira ya kufanya kazi sio rafiki kabisa. Wakati akipata kazi ya ureceptionist anapigwa kiyoyozi, na kubofya bofya computer, mda wa kazi ukiisha huyoo anapanda kivitz chake kurudi nyumbani!

Fuatilia comments zangu/za wengine kwenye uzi huu
Naombeni ushauri kwa huyu mdogo wangu wa kike mwenye matokeo haya kidato cha sita mwaka huu
 
Back
Top Bottom