Naomba ushauri wenye experince na kisima

Chamkae

Member
Feb 3, 2021
37
21
Natumia kisima kwa ajili ya carwash sasa watu wanapata tabu wakiwa juu ya bod truck kupata maji mengi nifanye nn ili maji yawe mengi nimesafisha kisima maybe ulikua uchafy mwingi lakini bado maji madogo kisima meter 35-40

Motor segems hoz pow 4

Water pump mashine honda hoz power 6 incase umeme ukikatika au magari yakiwa mengi tunaisupport

JPEG_20230322_093454_6047857474962219437.jpg
20230322_091132.jpg
20230322_091137.jpg
JPEG_20230322_093454_6047857474962219437.jpg
 
Biashara itakuwa nzuri hii, sana.

Labda nishauri umiliki tenki ama kibwawa kama kisima hakina maji ya kutosha mda magari yamekuwa mengi unatumia maji ya akiba. Halafu kuyachota unahakikisha umeyajaza hata usikukucha
 
Natumia kisima kwa ajili ya carwash sasa watu wanapata tabu wakiwa juu ya bod truck kupata maji mengi nifanye nn ili maji yawe mengi nimesafisha kisima maybe ulikua uchafy mwingi lakini bado maji madogo kisima meter 35-40

Motor segems hoz pow 4

Water pump mashine honda hoz power 6 incase umeme ukikatika au magari yakiwa mengi tunaisupport

hizo ukubwa wa hp sio suruhisho hizo pump zote zinaonyesha maximum head ni ndogo kuliko urefu wa kisima, mfano hiyo shemge max head naona imendikwa kama 32 hivi, sasa haiwezi kupeleka maji kwa pressure, badilisha pump
 
Asante sana boss pump ya design gn
 
Asante sana boss pump ya design gnunu

Asante sana boss pump ya design gn
Nunua tank hata lita 1000, efadhi maji humo, so hiyo mashine yako ya kuosha itachukua maji kutoka kwenye tank ,, kuhusu pump itakubidi upige hesabu kutoka chini ya kisima hadi kwenye tank ni mita ngapi, mfano hapo umesema kisima ni mita 35, so tuseme kutoka kwenye kisima hadi kwenye tank ni mita 10, so jumla ni mira 45, sasa unapoenda kununua pump hakikisha ina maximum head zaidi ya mita hizo 45, usiangalie horse power,
surface pump yoyote itakufaa kikubwa ifikie maximum head yako.
 
Back
Top Bottom