Teh hata hayo mawazo hayajafika mbele za Mungu
Embu acha fujo...Huyu mchungaji ni jangaKuolewa na mchungaji ni tunu,
Mkabidhi kwa baba mungu, fanya maombi na sala kuhusu huyo unaetaka kumpenda.
Ili mungu akupe kibali,
Kibali cha mungu ndo kila kitu, sometime hauta hata mtongoza anaeza kuja mwenyeww.
Note that, sio kwa ajil ya kumchezea, ila ndoa