Naomba ushauri wenu

Vizeee vyetu vya keko sio vya kuvibeba kuvipeleka mambele vitakutoa roho .
Hapa hapa bongo ukimbeba mzee sijui uishi naye nyumbani haki nakuambia lazima avunje ndoa yako kama sio kwa kukutongozea mkeo basi ni kuwafutinisha wazee wa keko hao ..

Anyway kwa maisha ya mzee wako fanya chap umrudishe uliko mtoa kama msaada msaidie akiwa huko huko ili tatizo usiishi nalo mpaka mwakani atakuuwa huyo
 
kama babaako ana 46 we unangapi?
 
Ulimchukua kutoka wapi?,inakuwaje qnakuwa mdwanzi hivyo mbona umri wa miaja 46 ni mtu ambae ana nguvu za kupambana
 
Una umri gani mkuu
 
Sasa kama baba yako ana 46 years wewe una miaka mingapi
 
Ukishakuwa na familia yako,kukaa na mzazi wako ni changamoto
Huruma isipite uwezo wako,mrudishe nyumbani akigoma fukuza!
Harafu umri wake ni 46 yrs? Huyu bado ni kijana anaweza kufanyakazi na kujitunza!
Imetosha kwa muda wote uliomsaidia.
Aisee ujue nimeshangaa age hiyo mbona anajilemaza sana,huyo ni my age mate kabisa, umri huu sisi ni watu wazima angekuwa 60 ningeelewa
 
Dah ila mara nyingi downfall zetu zinaletwa na ndugu siku zote..kuliko mtu Baki . .
 
Kumbe cost of living ni chini sana huko,yani chakula unatumia USD 700 tu-ndogo sana.
 
Huyo ni BABA YAKO MZAZI
au baba yako mlezi?

KAMA NI BABA YAKO MZAZI, BASI KATI YAKO WEWE NA UBONGO WAKO KUNA KIMOJA HAKIPO SAWA!

Sina ushauri mwingi kwa umakolo wako zaidi ya kukuambia GHARAMA ALIZOTUMIA BABAKO KUKUTUNZA NI ZAIDI YA HIVYO VIDOLA!

1. maisha ni magumu kwa sababu umelifunga lango la baraka (kwa kumuona babako kero)

2. hakuna aliye mnanga babake mzazi akabaki salama.

3. MHESHIMU BABAKO NA MAMAKO SIKU ZAKO ZIWE NYINGI DUNIANI.

4. Mrudie muumba wako kwa imani yako ili ubaki salama!

5. MTUNZE BABAKO, MAANA WAKATI ANAKUTUNZA HAKUKUAMBIA UENDE KUTAFUTA KAZI.

6. Yeye kutalakiana na mamako haikuhusu maana huwezi jua tatzo liko wapi. ACHA UJINGA MTUNZE BABAKO.
 
tushirikishe wenzako tupate kazi huko broo maana bongo imekua ngumu
 
Usichokijua ww ni kwamba, hayo ni maagizo kutoka kwa mkewe.
 
Tuanze kwanza, mama aliyetalikiwa na baba mwaka 2017 yuko wapi kwa sasa?,kingine una uhakika huyo ndio baba yako kweli?
 
WEwe ni andazi unajitengenezea chai
Huyu andazi ni andazi kweli😁. Inakuwaje mzee anakula zaidi ya share nzima ya familia yake kutoka $200 - $700?.

Binadamu unakuwaje na nguvu ya kumsemea negatively binadamu mwenzako kuhusu chakula? Kitu ambacho baada ya dakika kadhaa kinageuka jina ambalo hautaki hata kuliona/ kulisikia hadharani? Hata kwenye uongo hii haitakiwi.

Kuwa mchoyo maeneo mengine siyo chakula
 
Duuh huyu stori zake na jamaa mmoja alikuwa anaitwa nipo online unafikiri wanaandikia wageni wa Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…