Naomba Ushauri Wenu Wataalam Kwa hii website yangu

kindboy

Senior Member
Dec 11, 2010
142
28
Habari ndugu zangu, naamin humu kuna wataalamu wengi wa mambo ya websites kuliko mimi

Nimetengeneza hii website yangu ( www.climaxresorts.com) kwa ajiri ya mteja wangu , ninaomba kupata ushauri wenu kama wataalam vipi kuhusu muonekano wake , na je mnafikiri ina faa kwa ajiri ya kuanza kui submit google kwa ajiri ya ranking na marketing plan,

Lakin pia ningeomba kujua kama kuna vitu vya kuongezea ili iweze kuwa visible kwenye search engine nyingi

www.climaxresorts.com
 
Iko vizuri, hongera

Ushauri :
  • Ondoa unnecessary link elements ambazo hazijalink sehem yoyote.
  • Binafsi huwa sipendi counter, kama haina kazi ni bora kuindoa tu.
  • Minify your media files ( js, css, imgs ). site bado iko slow kidogo ..
 
pia ssl certificate inaonyesha error it means kuna mixed contents ambazo hazipo kwenye https format kwenye homepage yako so rekebisha links zako
 
Kuna baadhi ya link hazifanyi kazi vizuri, sijui kama umetumia bootstrap maana mpangilio kwenye devices za kati (medium device) sio mzuri sana
 
Maoni yangu:
  1. Naona Logo ingekuwa katikati ingependesa sana-naona iko pembeni sana na ni kitu kinachotambulisha brand hivyo lazima ukipe nafasi ya kuonekana vizuri ambapo ni katikati.
  2. Too much vertical scrolling. Kwa ajili ya usability na kwa content zilizopo kwenye site, hakutakiwi kuwa na scrolling yoyote (vertical or horizontal).
  3. Redundancy. Una link ya contacts, lakini juu kabisa kwenye homepage kuna P.O BOX, Email, Matwitter, Mainstagram,etc. Hii nafasi ya juu ungeitumia kubalance logo katikati.
  4. Contact Us--> Contact: Nadhani neno sahihi ni contacts.
 
Naomba nikupinge hyo namba 2! Horizontal scrolling haitakiwi at all, hyo nakubali but vertical pia? Huwezi ukawa na website isiyikuwa na vertical scroll, labda iwe landing page ya coming soon, but not a page with useful contents! Especially on mobile devices.
 
Unaelewaje maneno 'Too much'? Mbona mimi hakuna sehemu nimesema 'horizontal scrolling is ok'?
 
Ok poa, angalia website ya MIT. Nimependa pamoja na kuwa website za vyuo zinakuwa na content nying sana, wao site yao ina very minimal vertical scrolling: The Massachusetts Institute of Technology (MIT), ijapokuwa ni kitu kinategemeana na resolution ya computerambayo mtu anatumia.
Yeah, lakin tatzo design hizi hazipo applicable sana kwenye simu, kwenye computer ziko poa (kama website ya crdb). Na siku hizi 80% wanaaccess websites kwa simu.
 
Yeah, lakin tatzo design hizi hazipo applicable sana kwenye simu, kwenye computer ziko poa (kama website ya crdb). Na siku hizi 80% wanaaccess websites kwa simu.
Mkuu nimegundua wewe una 'authority' zaidi ktk suala hili, hivyo naona akifuata ushauri wako itakuwa poa zaidi. Mimi ni old school, natumia uzoefu wa kwenye PC kumbe tayari tuko kwenye mobile devices.
 
Okay mkuu, nmekuelewa. Tupo kwenye "mobile first era" sasa hivi, check hii screenshot ya statistics za traffic from devices za moja ya websites zangu (www.zinazosomwa.com)

d95ff550d14a06fd2dbc6bec001945e5.jpg
 
Wadau kuanzia tarehe ya Leo tunatoa offer ya hosting,gharama ni 40,000 tu kwa package ya mwaka mzima.
Specifications ni kama ifuatavyo:-
1)1 GB mysql Storage
2) 50GB bandwith
3) Unlimited sub domains
4) Unlimited emails
5) 24×7 support.
Pia tunatoa offer ya kudesign database kwa gharama ya 380000 tu ,kwa anayehitaji au
aje inbox au tupiga kwa 0687 535650

Sent using Jamii Forums mobile app

Unapozungumzia haya hapa chini inamana gani nifafanulie au vinakazi gani kwenye website
1 GB mysql Storage
2) 50GB bandwith
3) Unlimited sub domains
4) Unlimited emails
5) 24×7 support.
 
Unapozungumzia haya hapa chini inamana gani nifafanulie au vinakazi gani kwenye website
1 GB mysql Storage
2) 50GB bandwith
3) Unlimited sub domains
4) Unlimited emails
5) 24×7 support.
1.inamaanisha uwezo wa kupokea na kuhifazi mafile
2.Inamaanisha uwezo wa utembeleaji wa website yako itakuwa na uwezo wa kutembelewa na watu wengi bila kuwa slow.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom