Naomba Ushauri wenu wakuu

Naomba Ushauri wenu wakuu

Elvis Charles

New Member
Joined
Jun 5, 2023
Posts
4
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo moja wapo hapa Dar ila cha afya and hichi chuo ni cha binafsi so cha serikali. Mwaka Jana nilimaliza mwaka wangu wa pili lakn kwa bahati mbaya nkapata sup. Nilivyopata sup chuo kikatupa option kwamba lazima usign commitment letter ndiposa wakuregister. And pia mtu alikuwa anafaa kulipa ada na endapo ukichomoa sup utaendelea kama kawaida na usipo chomoa inamanisha ada yako ulolipa haitakuwa refunded

And kwa bahati nilichomoa sup, hii ilikuwa mwaka jana lkn fanancial problems zikaingilia kati mzazi kaja kuomba angalau niweze kufanya cat 1 lakini principal kagoma kabisa. Sasa mzazi nkaongea nae nikaona bora nisitishe masomo lkn chuo kikawa kinanikatalia kuwa lazima nimalize ada Yao ya semester nzima ndiposa nisitishe masomo yangu nilihangaika kwa mwishowe wakanikubalia Ila deni lao lilibaki pale pale ambapo mm ata sijaisoma iyo semester kabisa

Ivi kweli hii ni haki??
 
Back
Top Bottom