Naomba ushauri wana JF

Naomba ushauri wana JF

Najua unaogopa kukataliwa, usihofu we mweleze akikataa maisha yanaendelea. hila jiandae kuvunja urafiki
 
kuna msichana mmoja she is my best friend, ila nimeanza kumpenda kutokana na tabia pamoja na uzuri wake ,tumefahamiana ni zaidi ya mwaka ,ila kumueleza hisia zangu kwake nimeshindwa kabisa ,nimeamua kuja kwenu wana jf nifanyeje?

Huyo bestfrind wako yuko na boyfriend au single?? na kama yupo single why unaogopa kumwambia???
 
Mnywee tu huyooo utoe 'soni' kwani naliona kama ndo tatizo lako🙂. Halafu anza 'kutapika' sera zako kwa uwazi na ukweli..lol Wee una tatizika hapo lakini kazi yenyewe yaweza kuwa nyepesi dezaini kama ya kumsukuma mlevi🙂.

Hivyo Ikiitika Bingo!. Na akitoa nje singizia kuwa jana maji yalikuzidi kimo na jifanye unailaani 'Chupa' kwa nguvu zote🙂 Maisha yataendelea lakini message sent🙂 na yeye pia lazima apate 'nightmares' tu juu yako...Na akikutazama atakuwa hakumalizi shujaa wewe🙂

Note: The testimony is available on request🙂
 
hata siku moja sijawahi kumuona wala kumsikia akiongelea maswala boyfrnd wake tukiwa pamoja
 
Mnywee tu huyooo utoe 'soni' kwani naliona kama ndo tatizo lako🙂. Halafu anza 'kutapika' sera zako kwa uwazi na ukweli..lol Wee una tatizika hapo lakini kazi yenyewe yaweza kuwa nyepesi dezaini kama ya kumsukuma mlevi🙂.

Hivyo Ikiitika Bingo!. Na akitoa nje singizia kuwa jana maji yalikuzidi kimo na jifanye unailaani 'Chupa' kwa nguvu zote🙂 Maisha yataendelea lakini message sent🙂 na yeye pia lazima apate 'nightmares' tu juu yako...Na akikutazama atakuwa hakumalizi shujaa wewe🙂

Note: The testimony is available on request🙂

Nimekukubali eroo we ni noma!
 
Back
Top Bottom