Jiandae kurogwa maana hakuna namna ya kukunusuruBwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!
Wakuu,kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni.lakini me sina hata chembe ya mapenz ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu,sasa cku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo,na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana nilyompa miaka mitatu iliyopita wkt ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu maana kaota tuko kanisan tunafunga ndoa.sasa wakuu,mie nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini.nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB:kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.
Hata mimi ningemloga, shenzi kabisa.Jiandae kurogwa maana hakuna namna ya kukunusuru
Ameshampotezea miaka mi3 alitakiwa awe mkweli toka mwanzo, alikuwa na hadhi ya kumgegeda lkn ya kuolewa naye hana.kwani wewe una hadhi gani hadi useme binti hana hadhi ya kuwa na wewe?
All in all, mweleze ukweli kuliko kumpotezea muda wake
sijaelewa kwaiyo asingenge kojoa ?Huna adabu kwanza ... We umemgegeda binti Wa watu huku ukiwa unakojoa unamwambia oooh we ndiyo make wangu nakupenda sana.. Jamani kuwa na huruma aisee binti Wa watu unamuumiza
Akojoe kibubusijaelewa kwaiyo asingenge kojoa ?
Ni PM namba yake mkuu hautoona anakuganda tena!!Bwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!
Wakuu,kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni.lakini me sina hata chembe ya mapenz ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu,sasa cku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo,na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana nilyompa miaka mitatu iliyopita wkt ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu maana kaota tuko kanisan tunafunga ndoa.sasa wakuu,mie nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini.nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB:kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.
What goes around comes aroundBwana yesu asifiwe enyi watu wa Mungu!

Hana ubinadamu kabisa huyo alaf et bwana yesu asifiwe.. Damn!jana nilikua naangalia movie inaitwa "the perfect match" mtoa mada itafute na wewe uiangalie. nahisi utajifunza kitu kuhusu haya maswala ya kuchukuliana for granted. mwisho wa yote wewe ndio utakuja kuwa mhanga zaidi ya huyo binti, pale ambapo utampata binti unayempenda afu yeye akufanyie kama ulivokuwa unawafanyia mabinti wengine.