- Thread starter
- #21
Hakipo uzunguni ila kuna wenye pesa zao wamejenga huko.Ndio nadhara ya kununua squarter
Mfano huyo alojenga wa kwanza kwenye njia kajenga gorofa la maana.
Hakipo uzunguni ila kuna wenye pesa zao wamejenga huko.Ndio nadhara ya kununua squarter
Hata Kimara ni squarter ila kuna magorofaHakipo uzunguni ila kuna wenye pesa zao wamejenga huko.
Mfano huyo alojenga wa kwanza kwenye njia kajenga gorofa la maana.
Nimekupata mkuu.Fanya hivyo, kama unapesa tafuta kabisa lawyer
Kama unaona utasumbuka sanaa, uza hio nyumba
Ila mara hii hakikisha unapata kiwanja kilicho katika bara bara iliotengenezwa tayari
Kama unaogopa uadui chagua kubaki na amani acha afunge ili uwe unaruka kwenda kwako i.Habari zenu wakuu.
Miaka kadhaa nilinunua kiwanja kikiwa kina njia 2 za kupita gari.Baada ya muda akauziwa mtu na kujenga uzio njia moja ikafa ilabaki moja.
Njia iliyobaki nasikia napo panataka kuuzwa na madai ni kuwa hiyo sio njia eti ni kiwanja cha mtu.
Wakati nduziwa nilioneshwa kuwa hizo ni njia na ktk hati yangu ya serikali za mzaa inaonesha kiwanja kina njia 2.
Nafsi yangu inahuzunika sana nikifikoria jinsi ambavyo mchakato wa kudai haki yangu unayoenda kuniingiza kwenye uadui.So far sina adui wala sijawahi kugombana na mtu na ninatamani iendelee hivi ila nimejenga nyumba nzuri kubwa ya kisasa hapo lakini bila njia hiyo nyumba itashuka sana thamsni.
Wakuu nawaomba mnishauri njia nzuri ya hekima ya kukabiliana na changamozo hii.
Natanguliza shukrani🙏
Sijawahi kwenda mahakamani tokea nizaliwe kwa hiyo naomba uniambie nitagharamika kwenye nini naweza kupata wafadhili hela ikawa sio tatizoPole, uza hio nyumba mkuu maana utagharamika sana katika hio kesi vibaya mnoooooooo na uhasam juuu
Ntaingia na chopa😭Kama unaogopa uadui chagua kubaki na amani acha afunge ili uwe unaruka kwenda kwako i.
Changu kipo buguruni uwanja wa fisi hapa nyumba hapa jalala mkuuHata Kimara ni squarter ila kuna magorofa
Uwanja wa fisi uko TandaleChangu kipo buguruni uwanja wa fisi hapa nyumba hapa jalala mkuu
Duups!Uwanja wa fisi uko Tandale