Habari zenu wakuu.
Miaka kadhaa nilinunua kiwanja kikiwa kina njia 2 za kupita gari. Baada ya muda akauziwa mtu na kujenga uzio njia moja ikafa ilabaki moja. Njia iliyobaki nasikia napo panataka kuuzwa na madai ni kuwa hiyo sio njia eti ni kiwanja cha mtu.
Wakati nauziwa nilioneshwa kuwa hizo ni njia na ktk hati yangu ya serikali za mtaa inaonesha kiwanja kina njia 2.
Nafsi yangu inahuzunika sana nikifikiria jinsi ambavyo mchakato wa kudai haki yangu unayoenda kuniingiza kwenye uadui. So far sina adui wala sijawahi kugombana na mtu na ninatamani iendelee hivi ila nimejenga nyumba nzuri kubwa ya kisasa hapo lakini bila njia hiyo nyumba itashuka sana thamsni.
Wakuu nawaomba mnishauri njia nzuri ya hekima ya kukabiliana na changamozo hii.
Natanguliza shukrani🙏