Naomba ushauri wa kununua Projector

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,888
16,121
Wakuu nisaidie jinsi ya kupata projector yenye ubora wa hali ya Juu,
Kusema ukweli sijui chochote kuhusu hizi projector.

Itapendeza zaidi nkipewa na bei zake.

Asante
 
vitu muhimu zaidi kwenye projector
1. resolution
2. lumens
3. umbali wa kuonyeshea.
4. ports unazotaka
resolution ni ubora wa picha, ukikosa kabisa atleaelst 720p kwa lugha nyengine HD (1280x720) ila lenga upate 1080p au full hd (1920x1080)

lumens ni wingi wa mwanga unaotoka kwenye projector kama utaitumia mchana au nje maeneo yenye mwanga itabidi iwe na lumens za kutosha, ikiwa ni ndani au usiku lumens za kawaida zinatosha

kuna projector hata ikiwa umbali wa mita moja tu basi inamulika ukuta mzima wakati nyengine hadi ziwe mbali ndio ziweze kumulika ukuta mzima.

port utaangalia mwenyewe na kifaa utakachotumia, kama ni laptop/desktop itabidi iwe na vga au hdmi au display port, kama ni deki iwe na av cable kama ni simu iwe na MHL, miracast etc
 
Ili upate ushauri mzuri inabidi useme matumizi yako muhimu ya hiyo projector, maana kuna projector zenye matumizi tofauti, tofauti. Kwa mfano:-

Multimedia projector:
Hizi ni nzuri kwaajili ya kuangalia movie, kucheza game na huenda zisifae kwaajili ya presentation. Bei yake ni kuanzia laki 4 (ebay price), mwanga wake mara nyingi huwa haufiki lumen 2500, na zinazo fika, bei hua juu kidogo.

Mobile projector:
Hizi huwa na bei nafuu sana kama elfu 60,000 (ukiagizia toka ebay), mwanga wake ni mdogo kiasi cha lumen 1000-1500, hivyo zitahitaji chumba kiwe na mwanga hafifu sana au giza kabisa kuweza kuona vizuri, zinatumia betri na zilizo nyingi hazitafaa kwa matumizi ya ofisini au shuleni ingawaje kuna baadhi (kama picopro) zinaweza tumika ofisini kwa presentation ya watu wachache, nazo huuzwa bei juu kulinganisha na nyingine za kundi la mobile projectors.

Professional projector:
Hizi zinauzwa bei juu kidogo kuanzia laki 6 (ebay price), zina mwanga wa kutosha kuweza kutumika hata ofisini au shuleni ie. Lumen huanzia 2500-3500 au zaidi. hufaa kwa matumizi yote.

Kitu kingine cha kuzingatia kwa aina yoyote ya projector ni lamp technology and lamp life. Maana tatizo kubwa la projector ni kufa kwa zile taa zake, na kuna taa ambazo zinadumu kwa muda mrefu bila kuharibika (long lamp life) na taa za muda mfupi (short lamp life). Lamp life hupimwa kwa masaa mfano 3500hrs (short life) au 30000hrs (long life). Upatikanaji wa spare ya taa na gharama yake pia ni vema kuzingatia, kwa kawaida kubadili lamp huweza kughalimu hadi laki 2 kwa professional projector, na wakati mwingine unaweza kukosa kabisa standard replacement kama projector imetengenezwa na kampuni uchwala, hivyo kukulazimu kuweka universal lamp ambazo mara nyingi hulipuka baada ya matumizi kidogo. Kwa Tanzania, wauzaji wa projector za epson ni wengi pia lamp spare hupatikana kwa urahisi, hivyo ni vema uanze kuchunguza brand za epson kama mdau mmoja alivyo shauri hapo juu.

NB: Kwa matumizi ya darasani (shuleni) usinunue projector yenye lumen chini ya 2500

Nawasilisha tafadhali.
 
Hizi huwa na bei nafuu sana kama elfu 60,000 (ukiagizia toka ebay), mwanga wake ni mdogo kiasi cha lumen 1000-15000, hivyo zitahitaji chumba kiwe na mwanga hafifu sana au giza kabisa kuweza kuona vizuri, zinatumia betri na zilizo nyingi hazitafaa kwa matumizi ya ofisini au shuleni ingawaje kuna baadhi (kama picopro) zinaweza tumika ofisini kwa presentation ya watu wachache, nazo huuzwa bei juu kulinganisha na nyingine za kundi la mobile projectors.

Professional projector:
Hizi zinauzwa bei juu kidogo kuanzia laki 6 (ebay price), zina mwanga wa kutosha kuweza kutumika hata ofisini au shuleni ie. Lumen huanzia 2500-3500 au zaidi. hufaa kwa matumizi yote.

Kitu kingine cha kuzingatia kwa aina yoyote ya projector ni lamp technology and lamp life. Maana tatizo kubwa la projector ni kufa kwa zile taa zake, na kuna taa ambazo zinadumu kwa muda mrefu bila kuharibika (long lamp life) na taa za muda mfupi (short lamp life). Lamp life hupimwa kwa masaa mfano 3500hrs (short life) au 30000hrs (long life). Upatikanaji wa spare ya taa na gharama yake pia ni vema kuzingatia, kwa kawaida kubadili lamp huweza kughalimu hadi laki 2 kwa professional projector, na wakati mwingine unaweza kukosa kabisa standard replacement kama projector imetengenezwa na kampuni uchwala, hivyo kukulazimu kuweka universal lamp ambazo mara nyingi hulipuka baada ya matumizi kidogo. Kwa Tanzania, wauzaji wa projector za epson ni wengi pia lamp spare hupatikana kwa urahisi, hivyo ni vema uanze kuchunguza brand za epson kama mdau mmoja alivyo shauri hapo juu.

NB: Kwa matumizi ya darasani (shuleni) usinunue projector yenye lumen chini ya 2500

Nawasilisha tafadhali.
Asante sana mkuuuu
 
Natafuta projector ambayo inaweza kutumia almost inputs zote mfano simu, laptop deki USB HDMI na nataka kuitumia kwenye mazingila tofauti especially kwenye mwanga mwingi.(kutoa semina kwa maandishi na HD videos)
Kwa maelezo yenu, Nimeipenda Epson, so naomba specification kulingana na matumizi niliyoyataja hapo juu, bei na maduka zinakopatikana (sio e bay)

Natanguliza shukrani wakuu
 
vitu muhimu zaidi kwenye projector
1. resolution
2. lumens
3. umbali wa kuonyeshea.
4. ports unazotaka
resolution ni ubora wa picha, ukikosa kabisa atleaelst 720p kwa lugha nyengine HD (1280x720) ila lenga upate 1080p au full hd (1920x1080)

lumens ni wingi wa mwanga unaotoka kwenye projector kama utaitumia mchana au nje maeneo yenye mwanga itabidi iwe na lumens za kutosha, ikiwa ni ndani au usiku lumens za kawaida zinatosha

kuna projector hata ikiwa umbali wa mita moja tu basi inamulika ukuta mzima wakati nyengine hadi ziwe mbali ndio ziweze kumulika ukuta mzima.

port utaangalia mwenyewe na kifaa utakachotumia, kama ni laptop/desktop itabidi iwe na vga au hdmi au display port, kama ni deki iwe na av cable kama ni simu iwe na MHL, miracast etc
Mungu akubariki kwa elimu hii
 
Without providing technical specificatin. Nakushaur ununue epson kuz nimekua nikiwasaidia ma CR chuon kwetu kufunga projector kwa miaka zaidi ya 3. Hivyo nimekutana na projector nyingi kama epson, sony, acer, dell na nyingine nyingi. So from my experience nunua epson ni nzur thou nimesahau model yake ila ntakuchekia. Zina light intesity kubwa yana hata ukipresent mchana kweupe tena opened area still inaonesha a very high quality pictures pia ina ina multmedia USB port so unaweza chomeka flash yenye muvi or video na ikaonyesha pia ina port zaid ya 5 tofauti kwa ajili ya signal input pamoja na wifi. Inakuja na ka begi very still kwa ajili ya kutunzia. Piana ina AV mute na kadhalika. I have many reasons to recommend this type of projector from my experience i gave

thug lyf
 
Natafuta projector ambayo inaweza kutumia almost inputs zote mfano simu, laptop deki USB HDMI na nataka kuitumia kwenye mazingila tofauti especially kwenye mwanga mwingi.(kutoa semina kwa maandishi na HD videos)
Kwa maelezo yenu, Nimeipenda Epson, so naomba specification kulingana na matumizi niliyoyataja hapo juu, bei na maduka zinakopatikana (sio e bay)

Natanguliza shukrani wakuu

Mara ya mwisho nilinunua projector ya epson kati ya mwaka 2014 au 2015 kwenye duka la uhuru computers, barabara ya uhuru kariakoo. Specification zote za ile projector sizikumbuki, lakini ilikua:-
Epson EX7230
ANSI lumens 3000
Resolution 720p
Display tech. Tri-LCD
Built in speakers
Interfaces: USB (A & B), HDMI, VGA, na nyingine nimesahau
Keystone Correction both horizontal & vertical ni kati ya +-30 degrees kama sijakosea

Kuhusu bei, jamaa walinipiga laki 8 na nusu.

Projector kama hii inafaa kabisa kwa matumizi uliyoyataja.
 
Asante mkuu
 
Nimepat
Ili upate ushauri mzuri inabidi useme matumizi yako muhimu ya hiyo projector, maana kuna projector zenye matumizi tofauti, tofauti. Kwa mfano:-

Multimedia projector:
Hizi ni nzuri kwaajili ya kuangalia movie, kucheza game na huenda zisifae kwaajili ya presentation. Bei yake ni kuanzia laki 4 (ebay price), mwanga wake mara nyingi huwa haufiki lumen 2500, na zinazo fika, bei hua juu kidogo.

Mobile projector:
Hizi huwa na bei nafuu sana kama elfu 60,000 (ukiagizia toka ebay), mwanga wake ni mdogo kiasi cha lumen 1000-1500, hivyo zitahitaji chumba kiwe na mwanga hafifu sana au giza kabisa kuweza kuona vizuri, zinatumia betri na zilizo nyingi hazitafaa kwa matumizi ya ofisini au shuleni ingawaje kuna baadhi (kama picopro) zinaweza tumika ofisini kwa presentation ya watu wachache, nazo huuzwa bei juu kulinganisha na nyingine za kundi la mobile projectors.

Professional projector:
Hizi zinauzwa bei juu kidogo kuanzia laki 6 (ebay price), zina mwanga wa kutosha kuweza kutumika hata ofisini au shuleni ie. Lumen huanzia 2500-3500 au zaidi. hufaa kwa matumizi yote.

Kitu kingine cha kuzingatia kwa aina yoyote ya projector ni lamp technology and lamp life. Maana tatizo kubwa la projector ni kufa kwa zile taa zake, na kuna taa ambazo zinadumu kwa muda mrefu bila kuharibika (long lamp life) na taa za muda mfupi (short lamp life). Lamp life hupimwa kwa masaa mfano 3500hrs (short life) au 30000hrs (long life). Upatikanaji wa spare ya taa na gharama yake pia ni vema kuzingatia, kwa kawaida kubadili lamp huweza kughalimu hadi laki 2 kwa professional projector, na wakati mwingine unaweza kukosa kabisa standard replacement kama projector imetengenezwa na kampuni uchwala, hivyo kukulazimu kuweka universal lamp ambazo mara nyingi hulipuka baada ya matumizi kidogo. Kwa Tanzania, wauzaji wa projector za epson ni wengi pia lamp spare hupatikana kwa urahisi, hivyo ni vema uanze kuchunguza brand za epson kama mdau mmoja alivyo shauri hapo juu.

NB: Kwa matumizi ya darasani (shuleni) usinunue projector yenye lumen chini ya 2500

Nawasilisha tafadhali.
Nimepata elimu nje ya darasa thanks for sharing
 
Hello Fedora

Ili upate ushauri mzuri inabidi useme matumizi yako muhimu ya hiyo projector, maana kuna projector zenye matumizi tofauti, tofauti. Kwa mfano:-

Multimedia projector:
Hizi ni nzuri kwaajili ya kuangalia movie, kucheza game na huenda zisifae kwaajili ya presentation. Bei yake ni kuanzia laki 4 (ebay price), mwanga wake mara nyingi huwa haufiki lumen 2500, na zinazo fika, bei hua juu kidogo.

Mobile projector:
Hizi huwa na bei nafuu sana kama elfu 60,000 (ukiagizia toka ebay), mwanga wake ni mdogo kiasi cha lumen 1000-1500, hivyo zitahitaji chumba kiwe na mwanga hafifu sana au giza kabisa kuweza kuona vizuri, zinatumia betri na zilizo nyingi hazitafaa kwa matumizi ya ofisini au shuleni ingawaje kuna baadhi (kama picopro) zinaweza tumika ofisini kwa presentation ya watu wachache, nazo huuzwa bei juu kulinganisha na nyingine za kundi la mobile projectors.

Professional projector:
Hizi zinauzwa bei juu kidogo kuanzia laki 6 (ebay price), zina mwanga wa kutosha kuweza kutumika hata ofisini au shuleni ie. Lumen huanzia 2500-3500 au zaidi. hufaa kwa matumizi yote.

Kitu kingine cha kuzingatia kwa aina yoyote ya projector ni lamp technology and lamp life. Maana tatizo kubwa la projector ni kufa kwa zile taa zake, na kuna taa ambazo zinadumu kwa muda mrefu bila kuharibika (long lamp life) na taa za muda mfupi (short lamp life). Lamp life hupimwa kwa masaa mfano 3500hrs (short life) au 30000hrs (long life). Upatikanaji wa spare ya taa na gharama yake pia ni vema kuzingatia, kwa kawaida kubadili lamp huweza kughalimu hadi laki 2 kwa professional projector, na wakati mwingine unaweza kukosa kabisa standard replacement kama projector imetengenezwa na kampuni uchwala, hivyo kukulazimu kuweka universal lamp ambazo mara nyingi hulipuka baada ya matumizi kidogo. Kwa Tanzania, wauzaji wa projector za epson ni wengi pia lamp spare hupatikana kwa urahisi, hivyo ni vema uanze kuchunguza brand za epson kama mdau mmoja alivyo shauri hapo juu.

NB: Kwa matumizi ya darasani (shuleni) usinunue projector yenye lumen chini ya 2500

Nawasilisha tafadhali.
 
vitu muhimu zaidi kwenye projector
1. resolution
2. lumens
3. umbali wa kuonyeshea.
4. ports unazotaka
resolution ni ubora wa picha, ukikosa kabisa atleaelst 720p kwa lugha nyengine HD (1280x720) ila lenga upate 1080p au full hd (1920x1080)

lumens ni wingi wa mwanga unaotoka kwenye projector kama utaitumia mchana au nje maeneo yenye mwanga itabidi iwe na lumens za kutosha, ikiwa ni ndani au usiku lumens za kawaida zinatosha

kuna projector hata ikiwa umbali wa mita moja tu basi inamulika ukuta mzima wakati nyengine hadi ziwe mbali ndio ziweze kumulika ukuta mzima.

port utaangalia mwenyewe na kifaa utakachotumia, kama ni laptop/desktop itabidi iwe na vga au hdmi au display port, kama ni deki iwe na av cable kama ni simu iwe na MHL, miracast etc
Mkuu hiki kijamaa vipi kipo vizuri au utopolo kwa bei ya 1.3mil?
 
Hio ni smart tv box, speaker, projector na mambo kibao. Ina make sense kama unataka vyote hivyo portable,

Pia kwenye sale huwa kanashuka Bei mpaka around dola 200 mpaka 300.

Kama lengo ni projector kwa hio bei utapata projector nzuri ambazo amgalau ni 720P native.
 
Nna tv hila nch ndogo sana
Unajua mkuu projector ina mambo mengi sana ikiwemo umbali baina ya projector na ukuta. Angalia mwenyewe eneo lako, kama ni dogo ongeza tu tv kubwa, wengi kwenye mpira wanatumia Mtumba, angalia tu isiwe plasma.

Kama una mafasi kubwa projector ina raha yake.
 
Back
Top Bottom