nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,113
- 1,878
Ooh asante sana kakaUnajua mkuu projector ina mambo mengi sana ikiwemo umbali baina ya projector na ukuta. Angalia mwenyewe eneo lako, kama ni dogo ongeza tu tv kubwa, wengi kwenye mpira wanatumia Mtumba, angalia tu isiwe plasma.
Kama una mafasi kubwa projector ina raha yake.